Kwakuwa tulikuwa tunajua fika kuwa tutawafukuza Wamachinga maeneo Wasiyotakiwa Kisheria kufanya Biashara zao na baada ya Wiki Mbili tutawaonea Huruma, huku Wengine wakitupa Rushwa ili Kuwarejesha kwanini Hela ( Mamilioni ) tuliyoyapoteza Kutengeneza Mabango Makubwa ya Kuwazuia Wamachinga kufanya...
Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo.
Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
Kwa vile kuuliza si Ujinga, basi na mimi ninajitokeza mbele yenu wadau ili kutaka kujua Mmiliki hasa wa gazeti linalochapishwa na kusambazwa Tanzania linaloitwa Wamachinga.
Lengo langu ni kujua tu ili kuongeza maarifa.
Naomba kuwasilisha
Waziri wa Fedha Dkt. Mwiguli Nchemba alizungumzia suala la wafanyabiashara wadogo (wamachinga), Dkt. Mwigulu aliwataka waendelee kutulia kutokana na suala la ulipaji kodi kwasababu limeshafika mezani kwa Rais Samia Suluhu.
"Kuhusu matumizi ya mashine ya kieletronicki (EFD) kweli taharuki...
Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015...
Ikiwa zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya soko jipya la machinga linaendelea, ila limegubikwa na sintofahamu tokana na zoezi hili
Kipindi cha awali wamachinga wanaofanya biashara soko la jioni Nyerere square waliandikishwa kwa usimamizi madhubuti wa aliyekuwa mkuu wa mkoa Antony mtaka...
Habari!
Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla.
Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
Ni muda kidogo sasa tangu kutekelezwa kwa agizo la kuwaondoa Wamachinga maeneo ya katikati mwa majiji na miji mikubwa kama Dar es Salaam, Mwanza na Arusha kwa lengo la kuwapanga vizuri lakini pia kuyaweka maeneo hayo katika hali ya usafi.
Habari mbaya ni kwamba katika maeneo mengi...
Kwa mujibu wa “Wikipedia ya Wamachinga”, Wamachinga ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Lindi, wilaya za Kilwa na Lindi; lugha yao ni Kimachinga.
Kwa mujibu wa “Wikipedia” hii, kwa kipindi cha karne ya 20 na 21, Wamachinga wamekuwa maarufu katika miji mbalimbali kwa kuuza...
Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii ( wajasiriamali) kuweza kupata huduma za mikopo midogo midogo ambayo hawawezi kupata katika Benki. Hizi...
Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa.
Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA
Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Babati.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna lengo la kuwatia umasikini bali kuwajengea mazingira mazuri ya kujiongezea kipato.
Amesema kutokana...
Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA.
Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
Hivi jamani kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi...
Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu.
Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
Wakuu wote wa majiji ya Tanzania wako Dodoma kwa mwaliko rasmi wa waziri wa Tamisemi mh Bashungwa kujifunza namna ya kujenga masoko bora ya wamachinga.
Wameitwa RC Homella, RC Makalla, RC Malima, RC Gabriel na RC Mongella wakiwa na mwenyeji wao RC Mtaka.
Masoko hajo yakijengwa katika majiji...
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi...
Wakuu Habari,
Hali isiyokuwa ya kawaida uongozi wa taifa wa Shirikisho la Machinga umeingia katika mgogoro mkubwa juu ya nani wa kuzamini na kusimamia Machinga SACCOS Kati ya NMB na CRDB kutofautiana huko kumesababisha kutokea mpasuko mkubwa wa kimaslahi Kati ya Pande hizo kinzani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.