wamachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mgt software

    Jengo lililotelekezwa Mwenge Stand ya Zamani lingeweza kupunguza hadha ya wamachinga wanaotaabika

    Wana JF Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
  2. evangelical

    Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

    Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu). Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa. Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
  3. Nyankurungu2020

    Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

    Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.
  4. Kamanda Asiyechoka

    Wapinzani msipinge hii ni kweli, baada ya Rais Magufuli kufariki wamachinga wamekuwa vulnerable

    Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri. Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila...
  5. mirindimo

    Kwanini wamachinga wameandamana huku wakisema "tunataka soko letu"?

    Nani kachukua soko lao? Si limeungua? Kwanini hawataki uchunguzi ufanyike wajue chanzo au wanakijua tayari ndo maana wanataka waruhusiwe waendelee na mishe zao? By the way uchunguzi utachukua siku 14, zitaongezwa 7 kisha wataambiwa wanatafutiwa eneo lingine pale panawekwa kitu kingine ama stand...
  6. Hismastersvoice

    Viongozi wa kitaifa mmekuwa watumwa wa Wamachinga

    Ni wazi viongozi wa serikali wamekuwa watumwa wa wamachinga, wanawaogopa. Tanzania imekuwa ikishuhudia matukio ya moto kuunguza masoko na shule, jambo moja la kushangaza ni pale soko liunguapo, viongozi wa serikali wanaacha kazi zao na kwenda msibani! Pole na ahadi za kila aina zitatolewa...
  7. B

    Serikali kukubali Katiba kuwekewa viraka Dodoma maana yake ni hii...

    MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
  8. konda msafi

    Hapakuwa na haja ya kuwaondoa wamachinga na kuvunja vibanda pembezoni mwa mji

    Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc. Huku pembezoni walikuwa wanaathiri nini mpaka mumewaondoa pia? Kuwaondoa katikati ya mji kama Posta na...
  9. M

    Hivi baada ya wamachinga kufikuzwa mwenge wadada mnanunua wapi viatu vikali?

    Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio Ilikuwa sehemu yangu pendwa
  10. Maleven

    Nani atawasemea hawa wamama wauza mboga na matunda wanaoitwa wamachinga?

    Mwanzoni tulijua wamachinga wako katikati ya mji, wakiuza vitu mtkononi au kwa kutandika chini, vitu hivi vingi ni vitu vya kiwandani kama nguo, nk, lakini huu uongozi wa Bi Samia, unatuambia hata mama anaeuza maembe dodo muda wa usiku pale Kibaha Maili moja nae ni mahinga anachafua mazingira...
  11. kavulata

    Polepole toa somo kwa wamachinga

    Wamachinga ni watanzania wenzetu wenye haki na wajibu kamili kwa taifa lao. Machinga ni watoto, kaka, dada, wapwa, shangazi, wajomba, wajukuu, bibi, babu, ndugu na rafiki zetu. Ni kundi la wanajamii ambao wamejiamulia wenyewe mahala pa kufanyia biashara sawa na makundi mengine ya watanzania...
  12. sirluta

    Arusha: Njia za watembea kwa miguu walikohamishwa wamachinga, zageuzwa maegesho ya magari

    Habari wadau, Zoezi la kuhamisha wamachinga waliokuwa wameziba njia za watembea kwa miguu lilifanyika kwa malengo mengi ikiwa ni pamoja na watembea kwa miguu kupata njia za kupita. Wenye magari nao walikuwa walalamikaji wakubwa juu ya kero hiyo ya wamachinga kuziba barabara. Baada ya zoezi la...
  13. mirindimo

    Neema kwa wamachinga hii hapa! Kila machinga kuondoka na kitita

  14. JAYJAY

    Wamachinga Kimara wamehama wenyewe

    Nimepita hapa Kimara mwisho nimeshuhudia mwenyewe kuwa wamachinga wanaiheshimu hii serikali mpya na kutii maagizo ya kuhama wenyewe. Huu ndio uharibifu nilioushudia, sijui kwa nini wamachinga hawa wameamua kuharibu mabanda na maki zao pia. Anayejua anaweza kunisaidia kwa nini? Maana pamekuwa...
  15. ommytk

    Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

    tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
  16. J

    Suala la Wamachinga: Leo ni zamu ya Mwenge, SUMA JKT wamefanya usafi na kuondoa meza zote -- sasa panapendeza!

    Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara. Maendeleo hayana vyama!
  17. kavulata

    Hata wamachinga sasa wanasifia usafi wa mitaa

    Kwa mara ya kwanza leo nimemsikia kwa masikio yangu mfanyabiashara aliyeondolewa kando ya barabara akisifia usafi ulioaza kujitokeza kandokando ya barabara zetu. Nilikuwa na rafiki yangu aliyekuwa anauza matikiti ya kukata vipande pale Banana Ukonga jirani na taasisi ya Hali ya Hewa akisifia...
  18. ommytk

    Ni maeneo yapi ambapo wamachinga wamerudi baada kuondolewa?

    Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao. Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
  19. Erythrocyte

    Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

    Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ? Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ? tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
  20. Trubarg

    Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

    Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao. Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
Back
Top Bottom