Wamachinga ni watanzania wenzetu wenye haki na wajibu kamili kwa taifa lao. Machinga ni watoto, kaka, dada, wapwa, shangazi, wajomba, wajukuu, bibi, babu, ndugu na rafiki zetu. Ni kundi la wanajamii ambao wamejiamulia wenyewe mahala pa kufanyia biashara sawa na makundi mengine ya watanzania...