Wamachinga ni watoto wetu, wajukuu zetu, wapwa zetu, kaka, dada zetu, na jamaa zetu, wanatoka makabila yote na mikoa yote nchini Tanganyika na Zanzibar, hivyo hakuna mwenye chuki nao binafsi. Wamachinga wamejikuta pale walipo na kufanya vile wanavyofanya kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo...