Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao.
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka...
Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye.
Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza.
Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake...
Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji.
Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani.
Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao!
Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza.
Ni kweli...
Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji.
Hapa mmachinga anafanya biashara kwa heshima, bila adha ya jua au mvua. Hawezi kukwepa kukipia kodi, liseni ya biashara na pango...
"Wakati mnaendelea na mijadala mingine nawafahamisha kwamba Mkurugenzi wa Kahama Anderson Msumba akiwa na Polisi & Mgambo wamewavamia wafanyabiasha wa Kahama na kuwapiga virungu kisha wameiba bidhaa za Wafanyabiasha hao kwa madai kuwa wanafanya biashara maeneo ambayo sio sahihi."- Hilda Newton
Watanzania wengi hawajui kwamba Wamachinga hawasaidii nchi yetu badala yake wanatumika kwa siasa pekee. Watanzania wanashangilia wamachinga ambao hawalipi kodi halafu wanalalamika wenyewe kuongezewa kodi!
1. Hawalipi kodi yeyote ya maana na vibali vya machinga ni kama kukejeli Watanzania.
2...
Wafanyakazi wanne wa kampuni ya Khimji wamejeruhiwa baada ya kupigwa na shoti ya umeme baada ya winchi walilokuwa wamepanda kugusa nyaya za nishati hiyo.
Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Julai Mosi, 2021 katika mtaa wa Kirumba inakofanyika shughuli ya kubomoa vibanda vya wamachinga wanaodaiwa...
Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k
Naomba kama kuna mwenye mchango wa mawazo.
Salaam wanabodi,
Moja kwa moja kwenye hoja.
Tatizo tulilonalo ni ajira hii ni fact, watafiti wanasema kufikia 2050 Africa itahitaji ajira mpya zaidi ya milioni 500 (source frani hivi)
Hakuna serikali duniani iliomaliza tatzo la ajira kwa kuwaajiri wananchi wake wote (if I'm wrong, correct me)...
Kamarada (Comrade) wangu mkubwa wa Simba SC na ' Misebene ' ya Wenge Musica BCBG RC wa Dar es Salaam Ndugu Amos Makalla jiangalie sana kwani unaweza ' Kufyekwa ' muda wowote.
RC wa Dar Amos Makalla huu ' Mkakati ' ambao nasikia umeuanza hasa wa Kuwapangia na Kuwaondoa ' Wamachinga ' maeneo yao...
Wamachinga ni wananchi kama wengine na wana haki ya kuishi mijini kama watanzania wengine. Mkitaka kuwahamisha hakikisheni mmeandaa mazingira ambayo hayataathiri biashara zao, maana hii ndio kazi inayowafanya wazilee familia zao na kusomesha watoto.
Hawa watu hawakupenda kuwa wamachinga kwahiyo...
Serikali imeendelea kuwa kimya kuhusiana na suala la wamachinga na wafanya biashara ndogo ndogo. Kadiri muda unavyozidi kusonga ndivyo hali inazidi kuwa mbaya.
Baada ya sehemu wa watembea kwa miguu kuvamiwa na wafanyabiashara ndogondogo hasa Jijini Dar es salaam sasa ni zamu ya vituo vya...
Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini kufuata sheria zinazowekwa katika maeneo mlipo maanake nimeona njia zote zimezingiwa, vibanda kila...
Ukweli utawala wa awamu ya 5 kuruhusu wamachinga na mama lishe.
Kufanya biashara popote watakapo na wasibughudhiwe ulikuwa na ushamba wa aina yake. Zamani maeneo ya Posta yalikuwa ni maeneo ya kuvutia sana sio kwa wageni bali hata kwa wenyeji.
Yalikuwa masafi yasiyo na misongamano ya hovyo...
Wamachinga katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam na nchini kwa ujumla wamekuwa wakidemka demka kwa kuamini hawawezi kuguswa kwasababu wao ndio ngome kuu ya ushindi wa chama tawala yaani CCM.
Ndio nauliza, hivi Wamachinga bado ni mtaji wa wanasiasa?
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kustukiza katika soko la Kariakoo Dar es Salaam na kuongea na wafanyabisahara wa maeneo hayo
KARIAKOO
Rais Samia Suluhu amewatembelea na kuwasikiliza wanyabiashara wanaofanya biashara ndani ya soko la Kariakoo, baada ya matembezi Rais Samia...