Njoo Bongo, Kuna mapambio Kila siku , Si Wanawake Si Wanaume wa bongo walioko vyaman wao wameamua kua machawa Pro Max .
Na kweli bana,Uchawa Kwa Bongo unalipa.
Wao wana msemo wao ukitaka kutoka lazima umsifie aliyetoka.
Matokeo yake kuanzia majeshini, Mahakaman, Wizaran Bungeni ,Kila Mahali...
Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo,
kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
Katika ligi nyingi za michezo za Kimarekani, kama MLB Major League Baseball, NBA National Basketball Association, na NFL National Football League, timu zinazoshindana na wachezaji wake huitwa "Mabingwa wa Dunia"? Ukizingatia kuwa mashindano hayo yanajumuisha timu na wachezaji kutoka Marekani tu...
Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi
Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake
Trump ameshawahi kuwa raisi na mkaona impacts zake kama hakustahili kuwa raisi mlimpaje tena kura
Trump amekuwa...
Zimebaki siku tano hadi ban ya tiktok kuanza nchini Marekani lakini habari zinasema japo tiktok inajaribu kuwapeleka watuamiaji wake kwenye app yao nyingine inayoitwa lemonde wao wameamua kuanza kutumia app nyingine ya mchina inaitwa rednote ambayo ni kama mchanganyiko wa instagram, reddit na...
DEI (Diversity, equity and Inclusion) ni ajenda inayotumika kwenye baadhi ya majimbo ya marekani hasa yale yenye uwakilishi wa chama cha Democrats walichomo kina Kamala Harris,
Lengo la DEI ni kufanya sehemu za kazi na uongozi kuwepo na watu wa matabaka mbali mbali
Tatizo linapokuja hii DEI...
Habari wakuu!
Mpaka sasa watu watano wameripotiwa kufa kutokana na dhoruba ya baridi iliyotokea baadhi ya maeneo ya Marekani. Dhoruba hii imepelekea baadhi ya shule kufungwa, kero za usafiri na kukatika kwa umeme. Pia hali ya dharura imetangazwa kwenye majimbo ya Maryland, Virginia, West...
Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura.
Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
Msanii wa Muziki wa Afrobeats kutoka Limpopo, Maya Wegerif a.k.a Sho Madjozi amegusia suala la kuachana na Muziki wakati atakapoachia Albamu ya 'Limpopo Champions League Vol.2' ambayo amesema itakuwa ya mwisho.
Madjozi ambaye mwaka 2020 alisaini Mkataba na Lebo ya Epic Records ya Marekani...
Hata kama hauko ndani ya nchi yako bado utaendelea kumilikiwa na kutawaliwa na rais wa nchi yako! Ebu angalia hawa!
---
MIAKA 4 KUKWEPA UTAWALA WA TRUMP
Kampuni ya meli za kitalii inatoa safari ya miaka 4 ili kuepuka urais wa Donald Trump.
Gharama ni $255,999 ( Zaidi ya milion 686 za Tz)kwa...
Wanabodi,
Niko hapa jijini Washington DC, mji mkuu wa Marekani, pamoja na mambo mengine, nimepata fursa ya kuushuhudia uchaguzi wa Marekani, ambapo nchi ya Marekani inaitwa The Biggest Democracy kumaanisha ni demokrasia kubwa kwasababu ilipata uhuru wake Julai 4, mwaka 1776 lakini Wamarekani ni...
Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
Hii ni kwa mujibu wa Max Burns-The Hill.
Ni opinion yake…Naomba watakaochangia mada hii, wasome kwanza hiyo article. Na wafanye kujibu accordingly.
Kwangu binafsi, ninaamini kuwa ushindi wa Trump, umewaepushia wamarekani ugomvi mkubwa sana wa wenyewe kwa wenyewe. Tena kuna wanaoamini “civil...
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina.
Harris alijifanya...
Haijawahi kuwa sera ya Marekani chini ya Rais wa Republican au Democrats kuchochea wanawake wapewe madaraka katika nchi za Africa, hili jambo watu wanalirudia rudia sana kuonyesha kwamba Wamarekani wameturubuni Waafrika kuwapa watu uongozi kwa kigezo cha jinsia yao huko wao wakiwa hawafanyi...
Wanabodi,
Hapo nilipo bado nimepigwa bumbuwazi na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, na kujiuliza
Inawezekana hawa Wamarekani ni majitu majinga ajabu! Wamemchagua rais mwanaume, na kumtosa Mwanamke kwasababu tuu ni mwanamke?
Mnaonaje kama 2025, sisi Watanzania tuchague mwanamke ili kuonyeshea...
Inawezekanaje kwa miaka zaidi ya 200 Marekani kubwa hivyo yenye wapiga kura takribani milioni 150 na maelfu ya wagombea uchaguzi unafanyika bila wagombea kukamatwa na polisi au mikutano ya siasa kuzuiwa kama ambavyo huwa inatokea katika nchi ndogo za Africa?
Japo kipindi hiki Trump anaweza...
Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa 47 wa Marekani.
Ikumbukwe hata uchaguzi wa 2020 kuna hitilafu zilitokea kwenye computer za kupiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.