Hawa jamaa wana utoto mwingi sana ndio maana serikali ya Marekani haiwahitaji and soon their place in the United States will be replaced by African, Jamaican and Haitian immigrants plus other immigrants.
Na huo ndio ukweli kwa tulio wahi kufika Marekani tunaujua huu ukweli. Maeneo yalikuwa...
Mazayuni ujanja umewaishia, kwanza walikiondowa Ghaza kikosi chao kikali kuliko vyote kinachoitwa Golan baada ya kuchezea kichapo na kuona morali ya askari wao ipo chini sana. Wakaona kuendelea kuwaweka hao ni kuwaua tu, wakawaondoa.
Wakaleta kimya kimya kikosi kinachoitw "kfir", hiki ni kikosi...
Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma,
Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu.
Shule zipo...
Ni mwaka 1964 usiku mmoja hivi, wanaume wanne weusi walikutana ndani ya chumba kimoja na kuanza kuzungumza. Usiku huo ulikuwa mkubwa kwa Wamarekani weusi, haikuwahi kutokea watu wa namna hiyo mpaka leo hii kukutana na kuzungumza.
Watu hao walikuwa maarufu duniani, watu hao hata baada ya kufa...
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI
Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya Afrika hapo chuoni.
Visa ya Marekani ina tabu kidogo na nilipofika Consulate ya Marekani kuomba visa...
Hivi karibuni kijana mmoja Mmarekani mwenye asili ya Afrika aliuawa na kijana mzungu kwenye treni ya chini ya ardhi mjini New York, Marekani, lakini mhusika wa mauaji hayo aliachiliwa huru baada ya kuhojiwa na polisi kwa muda mfupi tu. Ikiwa ni miaka mitatu tangu George Floyd auawe kwa kukosa...
Siku tatu tangu maafisa wa Ubalozi wa Marekani kuhamishwa kwa helikopta za jeshi na kupokelewa nchini Saudi Arabia kwa vishada vya maua,wale raia wapatao 16000 wengi wao wakiwa raia pacha wameendelea kuhangaika ili na wao waweze kuihama nchi kuelekea Marekani.
Hata hivyo zoezi hilo limekumbwa...
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu, ameshazeeka sasa.
Yeye na kizazi chake walipigwa ban wasikanyage USA wala kusogelea ubalazi wao.
Wakati ubalozi wa Marekani unalipuliwa nchini pamoja na...
Na kama ni kweli nitahitaji majibu, kwanini wamepewa eneo la beach jirani na waliko mabaka mabaka na eneo lisilo mbali kimkakati na Jumba kubwa analolala Mama na Baba yetu Hafidhi.
Ulaya na Marekani, Serikali inawajibika kwa wananchi ila Uarabuni na Urusi wananchi ndiyo wanawajibika kwa serikali. Matokeo yake Marekani na Ulaya inawezekana wananchi kuandamana kwa maelfu kupinga kinachofanywa na serikali na wasiuawe kwa kukukusudia.
Lakini kwenye nchi nyingi za Kiarabu na...
Marekani imeahidi kuendelea kuiunga mkono Tanzania katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya wananchi kwa kutoa fedha na ujuzi pamoja na kuvutia uwekezaji kupitia ubia kati ya sekta ya umma na binafsi.
Ahadi hiyo imetolewa na Balozi mpya wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle alipokutana na...
Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani...
Marekani yasema wamarekani wanaopinga sera za vita za Washington wameandamana kwenda Ikulu ya Marekani (White House) massa kadhaa baada ya Biden kufika Kyiv wakipinga serikali yao kutengeneza na kudhamini vita nje ya nchi.
Wamarekani hao pia walipaza sauti zao wakisema kuwa rais Putin si mtu...
Kuna hili jambo ambalo lina utata kama wamarekani walituma chombo cha anga na kupeleka binadamu mwezini mara ya kwanza mwaka 1969.
Nilikuwa napitia machapisho mtandaoni na kukutana na hili kanusho (debunking) nikaona niliweke hapa ili wenye interest na haya mambo tuliangalie...
Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika hilo.
Kenya Airways imekuwa ikitegemea hazina ya Kenya kuweza kujiendesha huku kipindi cha Januari-Juni...
Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
agenda
bingwa
dunia
fifa
heshima
kiarabu
kombe
kombe la dunia
kuhusu
kupitia
maneno
ofisi
pongezi
putin
qatar
uislam
ushoga
utamaduni
wakristo
wamarekani
wengi
Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu uamuzi huo.
Kituo cha NBC News kilianzisha mchakato wa kura ya maoni kuona ni sahihi kile...
Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya mauaji ya watu 17,000 Nchini humo kwa miaka kadhaa iliyopita.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.