Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia.
Na hili wimbi nadhani lilikuwa kubwa baada ya dada mmoja anaigwa Traveling Sista kuja na kuanza...
https://www.youtube.com/watch?v=BKZ7ifz7408
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan Akifunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi kwa Mwaka 2024 na Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania, Viwanja vya Jeshi la Polisi CCP Mkoani...
Wiki nzima wako wanasikiliza hotuba mara Obama mara Oprah Michele Hilary n.k wiki nzima wako Chicago wanangoja Kamala aje kusema nimekubali kuwa mgombea wa urais nimegundua ccm wako serious kuliko Hawa democrat
Ila pia nimegundua wamarekani wachache sana wanashughulishwa na mgogoro wa Gaza...
Tafiti zilizofanyika huko nchini Marekani zinasikitisha na kushtua sana, kwamba watu takribani milioni 23 sawa na asilimia 7 ya watu wazima wanaamini kwamba maziwa ya chocolate yanatoka kwa ngombe wa rangi ya kahawia. we unadhani ni kwanini? kwamba hawajui?
====
Seven percent of all American...
Kamala amekuwa akitaka kutumia tabaka la ngozi nyeusi kum boost kisiasa lakini wamarekani weusi wamestukia na kumkataa, ni Tofauri ya Obama alikuwa tayari ana uwezo mkubwa sana wa ku debate, very charismatic, connected, n.k. Kamala amekuwa akiegemea zaidi kutumia ngozi, mqjuzi kwenye moja ya...
Vikosi vya Arab Force's vinavyomuunga mkono Bashir Asad vimeteka visima vya mafuta vilivyokua vikidhibitiwa na Marekani vya Al Omar oil refinery pamoja Water station wanajeshi wa Marekani waonekana wakipaniki kutuma ndege vita kushumbalia mwisho Marekani kuiba mafuta middle east umefika...
Mgombea urais kupitia chama cha republican katika uchaguzi ujao nchini Marekani na Rais wa zamani Donald Trump ameshambuliwa kwa risasi kadhaa akiwa katika mkutano mjini Butler Pennsylvania Leo.
Walinzi wake wamezunguka na kumuinua baada ya kuanguka chini huku akionekana kuvuja damu upande wa...
Mimi huwa nachanganyikiwa na hili suala la kusema ISIs, Boko Haram, Al Shabab, Is, Hamas hivi vikundi ukivisema mabaya yake ya wazi kabisa huwa wanakimbilia kusema viliundwa na Marekani lakini husikii vikilaaniwa hata siku moja.
Husikii kwenye nyumba zetu za ibada tukivilaani.
Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa...
Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye mlengo wa dini ya kiislamu.
Sasa wenye nchi yao nao wameanza kuingia barabarani......
As the size...
1. Alisema Abraham Lincoln:
2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP):
3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya kina Biden, Blinken, Bibi au washirika zao. Kuliko kisiwa cha demokrasia sasa kama Kwa akina Muroto...
Umoja wa Mataifa wiki iliyopita umeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi, na kaulimbiu ya mwaka huu ni “Muongo wa Utekelezaji wa Siku ya Kimataifa ya Watu Wenye Asili ya Kiafrika”. Wakati jamii ya kimataifa inajitahidi kuondoa ubaguzi wa rangi, Marekani, ambayo inajiita...
Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha.
Ila kuna suala moja lanifikirisha sana.
Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya kuwahimiza watu kutokukata tamaa na kupambana kujikwamua kiuchumi,,
kwanini
zikiwa ni za wamarekani...
Na nasikia majaribio yake yanaanza kwa Wakazi wa Dar es Salaam na ninachoshukuru hasa GENTAMYCINE kuwa tayari nimeshahama Dar es Salaam tokea tarehe 18 Februari, 2024 na sasa nakula zangu tu Kipupwe cha Mapinga nikiwa na Makomandoo wa Kiharaka hivyo hiyo Shehena ya wasiwasi kwa Team Kuzalisha...
Wafanyakazi wa mashirika ya misaada ya Marekani na Uiengereza wamepewa siku 30 za matayarisho ya kuondoka nchini Yemen kwenye maeneo yanayodhibitiwa na wanajeshi wa Houth.
Amri hiyo imetolewa baada ya meli za kivita za nchi hizo kufanya mashambulio kwenye maeneo ya Yemen kwa mara ya nane hapo...
Machafuko ya Mashariki ya kati hivi sasa ni mchezo uliopangwa na nchi za Magharibi, hususan USA UK na NATO yote wakishirikiana na vibaraka wao. Ikumbukwe, Israel ni base tu ya Mmarekani.
Haitakiwi kabisa mashariki ya kati machafuko yaishe kwa sasa.
Wakitoka Mashariki ya Kati wanaunganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.