Unaweza usiamini lakini nndivyo ilivyo.
Heated debate in US Senate erupts over abortion rights for men
A Republican senator who doesn’t believe men can get pregnant was called “transphobic”
Huyo hapo juu ni "mwanamume" anapigania uhuru wa kutoa mimba!! Iko hivi, mwanamke anaweza kuamua tu...
Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake.
zaidi soma hapa.
-----
President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
Wanajeshi wawili wastaafu wa Marekan ambao walikuwa Nchini Ukraine wakipigana vita dhidi ya Urusi hawajulikani walipo na inahofiwa wametekwa na wanajeshi wa Urusi.
Alexander Drueke, 39, na Andy Huynh, 27 mara ya mwisho walionekana katika Mji wa Kharkiv, Juni 8, 2022. Familia za wahusika hao...
Katika sehemu ya mashariki ya mji wa Detroit nchini Marekani, kupitia picha za satelaiti, tunaweza kuona ukuta unaotoka kaskazini hadi kusini na kupitia mitaa minne, ambapo umetenganisha sehemu ya watu weupe na sehemu ya watu weusi. Katika nchi hii ambayo siku zote inadai kutetea haki na usawa...
Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa.
60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani.
Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe...
Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa...
Kagame anapata sifa nyingi sana hasa kwenye vyombo vya habari vya magharibi lakini ukweli ni kwamba sababu kubwa ya kupendwa ni kwamba yeye pamoja na Museveni ndio walinzi wakuu wa western interests katika great lakes region (hasa Marekani).
Katika historia ya Afrika Mashariki na kati hakuna...
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata heshima tangu zamani. Wasanii na watu maarufu walitamani kuizungumza wakiwa na fikra kwamba Kiswahili...
1. Mc Lyte, 1991
My mother put me in weusi shule which means black school in swahili MC Lyte kwenye ngoma ya krs 1 heal yourself.
2. Nas na Damian Marley, 2010
Nas and I can speak rap star
Y'all feel me even if it's in Swahili habari gani?
Damian Marley: Nzuri sana
3. Michael Jackson, 1987...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.