Kupitia Ukurasa wa Instagram, Ikulu ya Marekani ilipost picha ya Rais wa Marekani akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ukraine, baada ya kufanya ziara ya kushtukiza na iliyokuwa ya siri kubwa mpaka kufika, picha hii ilifuatiwa na maneno kwamba Ukraine bado ipo Imara na hakuna wakuizuia Marekani...