Inamhitaji mtu roho ya; urafiki, ulezi, ushauri, uzazi, ukaribu na upendo ili kumtengeneza MWANAFUNZI bora. Sifa hizi ni za ndani, ukitoa zile za nje ambazo walimu hufunzwa vyuoni na kufanya walimu wote waishi katika mstari mmoja.
Sifa za nje ni kama haiba na maadili, uwezo wa kutawala darasa...