Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada.
Shule hii...
Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa.
Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi.
Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
Nakumbuka kufeli kwa wanafunzi wa Sheria mwaka huu na mwaka jana na sababu zilizotolewa na shule ya sheria Dar es salaam. Naangalia inachukua muda gani vyuo vya Tanzania kuprinti cheti cha mwanafunzi aliyehitimu; naangalia inachukuliwa hatua gani kwa wasomi wazembe na wasio na maadili, naangalia...
Ukiangalia vifo vingi vya wanafunzi ambavyo vinasababishwa na waalimu vinatokana na kupewa adhabu au kipigo nje ya utaratibu wa kawaida wa fimbo.
nawatahadharisha tu walimu kuwa maeneo yaha ambayo nayataja hapa ni hatari sana kupiga hasa kwa watoto wadogo
1. kupiga NGWALA, hii inapelekea mtoto...
Wazee nendeni Shule ya Msingi Tumaini, ipo Kata ya Kimanga, Dar es Salaam kila siku kila Mwanafunzi wa Darasa la Saba anatakiwa atoe mchango Tsh. 800 na kwa siku ya Alhamisi wanachangishwa Tsh. 2,000 ya mtihani.
Pia soma:
Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule...
Global Education Link yawakaribisha Wanafunzi wa ngazi mbalimbali za Elimu ya juu kutembelea katika Banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 18 ya vyuo vikuu nchini Yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja Jiji Dar es salaam ili kupata nafasi yakuunganishwa na Vyuo Vikuu mbalimbali Duniani...
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma Shule za Serikali za Kata wameshindwa kuendelea na masomo na kuacha shule kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni utitiri wa michango mashuleni.
Moja ya shule kati ya nyingi zilizopo Jijini Arusha ni Sekondari ya Lemara iliyopo katika Kata ya Lemara kwenye...
Ugumu wa maisha na kukosekana kwa Wasaidizi wa kulea Watoto kumetajwa kuwa kuwa sababu ya kusitisha masomo kwa Wanafunzi 92 kati ya 265 waliorejea masomoni baada ya kupata ujauzito shuleni chini ya Utaratibu wa Kuboresha Elimu Sekondari (SEQUIP).
Msimamizi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima...
Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
Wakuu,
Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
Ninawajulisha tuuuu,mpita njia wenu.
CC:-
Afisa Elimu Kata (Limemshinda au kajiongeza)
Afisa Elimu Wilaya (Hasomeki,vikaoni haendagi)
Afisa Elimu Mkoa (anajua mambo saafi kwa wa chini yake)
Wizara ya Elimu
WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Chanika wanaojiandaa na mitihani ya Darasa la Saba wengi...
Naomba mamlaka zinazohusika kuchagua Wanafunzi kwenda kidato cha tano zote zitoe nafasi ya waliochaguliwa mapema ili kuwawezesha wazazi na walezi kufanya maandalizi ya kuwapelekea Watoto shule kwa utaratibu.
Machaguo yanapotoka mapema inampa fursa hata mzazi au mtoto kujipanga mapema kwa kujua...
Tatizo la ajira nchini linazidi kuwa kubwa na hii ni kutokana na wingi wa wanafunzi wanaohitimu kila mwaka huku serikali ikishindwa kutoa ajira kwa wahitimu wote, Katika kukabiliana na tatizo hili serikali imekuwa ikipendekeza njia ya kujiajiri na sio kusubiri kuajiriwa swali la msingi hapa ni...
Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204
Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa?
Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao...
Msimu wa maonesho ya sabasaba umewadia
Kwenye daladala binafsi watoto hulipa mia mbili tu kupanda!
Inakuwaje Kwenye maonesho ya sabasaba ya serikali wanafunzi waingie kwa tsh 1500/3000 au zaidi wakati wanakwenda kujifunza na hawana kipato chochote?!
Yaani daladala anaeweka mafuta unamwamuru...
Tarehe 22, Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucious katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) wametembelea kijiji cha kale cha Siping na jumba la maonyesho la mji wa Jinhua.
Kijiji cha Siping kilichoko katika mlima Jiufeng mjini Jinhua, kilijengwa mwanzoni mwa enzi...
Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu.
Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.