Juni 20, wanafunzi wa shule za upili wa Tanzania walioshiriki kwenye kambi ya majira ya joto ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) walijionea kwa undani mvuto wa urithi wa utamaduni usioshikika wa China. Shughuli hiyo ya kiutamaduni iliyoandaliwa na Chuo cha Utamaduni wa...
Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
WANAFUNZI WA KICHAWI WANAPOKUWA INTERNSHIP "FIELD" AU KWENYE MAFUNZO KWA VITENDO.
Anaandika, Robert Heriel
Baada ya kupokea kozi fupifupi au ndefu katika taaluma ya Uchawi na ulozi ni muhimu kwenda Internship au field au Kwa Kiswahili fasaha tunasema kwenda kwenye mafunzo Kwa vitendo for...
Wakuu,
Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili.
Nasema nimegadhabishwa kwa...
Polisi nchini Uganda wanafanya uchunguzi wa tukio la Wanafunzi wanne (Wakiume) wa Chuo cha Jinja kudaiwa kumnyanyasa kingono mwanafunzi mwenzao (wakiume) mwenye umri wa miaka 15.
Taarifa zinaeleza kuwa kikundi hicho kilifanya tukio hilo kwa kumfungia mwenzao huyo ndani ya chumba, wakamyanyasa...
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan
Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.
Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?
They are acting like they were in boarding schools for 10...
Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China.
Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na...
Tanzania hatuna mpaka na nchi za Sudan/ sudan kusini, sasa sielewi wetumia kigezo gani kwa hawa madaktari wanafunzi kuja kuendelea na masomo DSM kuliko Nairobi na Kampala!
Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan.
Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
Wasalaam...
Nilikuwa naomba kujua utaratibu ukoje kwa wanafunzi wanaotaka kuhama chuo kimoja kwenda chuo kingine.
Conditions
1. Course ni ile ile, let say natoka DIT nikiwa nimesoma mechanical engineering mwaka wa kwanza. Lakini nataka nisome mechanical engineering mwaka wa pili nikiwa MUST...
Wanamgambo Waasi wa Allied Democratic Forces (#ADF), wanadaiwa kushambulia Shule ya Sekondari #Lhubirina katika mji wa #Mpondwe, na kusababisha vifo 40, huku idadi isiyojulikana ya watu wakitekwa nyara
Meya wa Mpondwe, Selevest Mapoze, amesema wengi wa waliouawa ni Wanafunzi, huku kukiwa...
Binafsi nazijua shule mbili ambazo karibu kila msichana wa kuanzia form two ana boyfriend ndani ya shule au nje ya shule wakiwemo na watu wazima pia ambao sio wanafunzi.
Kuna idadi kubwa sana ya wasichana wa sekondari ambao wanadanga na kujiuza kwa wanaume.
Ile sheria ya ubakaji ya mwaka 98...
Waziri wa fedha, Mwigulu Nchema amesema bajeti inapendekeza kuondolewa kwa ada kwa wanafunzi wanaopangiwa vyuo vya kati na Serikali wakimaliza kidato cha nne, vyuo hivyo ni, DIT, MUST na AITC.
Waziri wa fedha amesema serikali imefikia uamuzi huo ili kuzalisha wataalamu wengi wa fani...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje?
Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
Mh waziri Tamisem Angela Kairuki, wiki hii ametangaza chaguzi/selection za vijana wa kidato cha nne kujiunga na kidato cha tano pamoja vyuo mbalimbali.
Miaka ya nyuma vijana wote waliokuwa wakijiunga na vyou vya ufundi pamoja na uwalimu serikali ilikuwa inacover gharama zote au baadhi. Leo hii...
Kama jamii ya watanzania na Kwa maadili yetu, tunategemea kuona watoto wa kike wakipata malezi Bora na ushauri nasaha kuhusu mahusiano na athari za mahusiano ya kimapenzi hasa Kwa wale wa mwaka wa kwanza katika elimu ya chuo Kwa ngazi ya shahada.
Wanafunzi wengi wa kike hujikuta wakiangukia...
Nimeona mijadala humu. Mwanafunzi anauliza nimechaguliwa shule flani, wazazi na walezi wanauliza mwanangu kachaguliwa shule flani, mkitaka kujua kama shule hizo ni nzuri ki ufundishaji na ufaulu kwa ujumla.
Niwape tu general information. Shule nyingi za serikali ni tiamaji tiamaji. Shule...
hii ni shule ya secondary ya wasichana St Francis wakati wanafunzi wengi wakipangiwa Utwango, Kanga, Mwakavutwa, Lupalilo na Mwimbi mambo ni tofauti kwa shule special wanafunzi wamepangiwa tena special ama kweli kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake
ila swali la kujiuliza wanafunzi wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.