wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Morning_star

    Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

    Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
  2. Waufukweni

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Nduweni wamshukuru Mbunge Prof. Mkenda kwa zawadi za fedha kwa waliofanya vizuri

    Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa zawadi za fedha kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo kwa mwaka 2024 Akizungumza kwa niaba ya...
  3. GoldDhahabu

    Watawala wasingekosea kama wangekuwa wanafunzi makini wa Historia!

    Daniel Arap Moi "alijiapiza" kuwa KANU ingetawala Kenya miaka mia moja! Iko wapi kwa sasa? Haikufikisha hata miaka hamsini. Iliondolewa madarakani na waliowahi kuwa wana KANU waandamizi. Adolf Hitler alikuwa na nia ya kuwaangamiza Wayahudi wote. Japo aliwaua wengi lakini lengo lake halikutimia...
  4. A

    DOKEZO Chuo cha SAUT-Mwanza hakitatui matatizo ya wanafunzi kwa wakati

    Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani katika somo la kifaransa ambalo lilikuwa somo la lazima na baadae kulifanya somo la hiari kwa baadhi...
  5. Lycaon pictus

    Nyerere na Wanafunzi wa Chuo Kikuu waliopinga kwenda JKT.

    Hotuba hii ilitolewa kama kijitabu TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. Unaweza kukisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Inapatikana playstore. Oktoba 23, 1966. Wananchi, Jana tumefukuza wanafunzi wapatao 393 kutoka katika vyuo mbali mbali vya Dar es Salaam baada ya maandamano yao ya...
  6. A

    KERO Wanafunzi DIT hatujasajiliwa wiki ya 7 sasa tokea chuo kifunguliwe kwa kisingizio cha ubovu wa mfumo

    Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini...
  7. Roving Journalist

    Wanafunzi waliofukuzwa Shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA warejeshwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  8. The Watchman

    Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

    Saa chache tangu taarifa ya kufukuzwa shule kwa wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga kwa madai ya wazazi wao kukiunga mkono Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi, Afraha Hassan amesema waliokumbwa na kadhia hiyo walikuwa tisa na tayari...
  9. T

    SI KWELI Tanzania imezuiliwa kuingia Marekani

  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ichunguze vikundi vya dini vya wanafunzi shule za Advance

    Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance. Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo. Usipoziba ufa utajenga kuta. Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria...
  11. Roving Journalist

     Waziri Mkenda: Nafuatilia Shule ya Nkasi iliyofukuza Watoto kisa Wazazi wao ni CHADEMA Mkoani Rukwa

    Salaam Wakuu, Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
  12. A

    KERO Chuo Kikuu cha SAUT boresheni ukumbi uendane na idadi ya Wanafunzi, tunajazana sana Ukumbini

    Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University of Tanzania - SAUT MAIN CAMPUS). Wanafunzi tumejaa katika Ukumbi wa chuo kiasi kwamba wengine...
  13. Waufukweni

    Wanafunzi 4,183 wapangiwa mikopo ya TSh. 13.8 bilioni kwa rufaa

    TAARIFA YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKATA RUFAA WANAFUNZI 4,676 WAPANGIWA MIKOPO YENYE THAMANI YA TZS 15.5 BILIONI Mfuko wa Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) umetangaza kukamilika kwa upangaji wa mikopo ya wanafunzi waliokata rufaa kwa mwaka wa masomo 2024/2025. Jumla ya wanafunzi 4,676...
  14. A

    KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  15. A

    DOKEZO Wanafunzi wa kitongoji cha Njoka wasaidiwe mazingira rafiki ya kupata elimu

    Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya msingi Kizuka. Lakini kitongoji hiki kinapakana na Kijiji cha Miembeni ambacho kipo takribani km 3...
  16. K

    KERO Ucheleweshwaji wa malipo ya 'Booms' unakwamisha shughuli za Wanafunzi wa Chuo

    Bodi ya Mkopo Heslb inatupa wakati mgumu sana hasa wanafunzi tunaotokea familia ya vipato vya chini, maana wanafanya kazi kama wanavyojisikia wao Bali si kama wajibu wao wanafunzi tunalala njaa hatuna pesa. Lakini pia kupata allocation inafanyika mapema lakini sasa pesa ya kujikimu inakuwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    Wanafunzi Wafundishwe Nidhamu Bora na Tamaduni za Kitanzania: Bashungwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao. Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
  18. Kennedy

    Kwa Wenye Wanafunzi Wanaotaka Kuanza kidato cha 1 Na Vyuo

    Ndugu Zangu Shule Na Vyuo Mpaka Ufadhili Kuanzia Kidato Cha Kwanza Mpaka Vyuo. Tafadhali Tembea Shule Iliyo Jirani Nawe Elimu Ni Bure,
  19. secretarybird

    Tetesi: Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa 2 na wa 3 waanza malalamiko ya chini chini kisa kubadilishiwa makazi yao bila kushirikishwa

    😁😁😁😁😁, Unajua nacheka Kwa nini, hii ni maajabu! Huko UDOM wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wameanzisha malalamiko ya chini chini kupinga utaratibu unaotumiwa na uongozi wa chou wa kuwahamisha sehemu (blocks/mabweno) walikokuwa wanajihifadhi. Wanafunzi wanadai kuwa wanapangiwa sehemu...
  20. Roving Journalist

    DC wa Ikungi: Tunachunguza tuhuma za Mwalimu wa Shule ya Mandimu (Singida) anayedaiwa kudhalilisha Wanafunzi

    Mwanachama wa JamiiForums, aliandika kuhusu kinachondelea katika Shule ya Mandimu kuwa kuna Mwanafunzi ambaye anawadhalilisha Wanafunzi ikiwemo kuwapa adhabu kali kiasi cha kusababisha wengine waache Shule. Shule hiyo inapatikana Kata ya Mungaa, Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Serikali imesema...
Back
Top Bottom