wanaharakati wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Jinsi umoja wa ulaya (EU) ulivyowavuruga wanaharakati wa Tanzania kwa kuachia mzigo wa bilioni 461

    Golf Mike Uniform. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa October 29, 2025 pamoja na matukio ya Vurugu za Uchaguzi kulikuwepo na nguvu kubwa iliyotumika na Wanaharakati kutaka Kuichafua sura ya Tanzania mbele ya uso wa dunia/Washirika wa Maendeleo. Wanaharakati hao kupitia Waandishi wa habari...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Tanzania walioko Kenya kurudishwa nchini

    Serikali ya Kenya imekataa maombi ya Sativa, Hilda Newton, Twaha na Rose Mayemba waliotaka Political Asylum, wameambiwa TZ hakuna shida ya kisiasa warudi kwao au wakae kwa kufuata taratibu, That's Why Pambalu amerudi soon wengine watarudishwa na watakamatwa kwa walichokifanya Oktoba 29.
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Sina heshima na wanaharakati hata kidogo na sijali, ni wahalifu wa nchi hii

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa ziarani Mkoani Mara, Julai 1, 2026 amewatolea uvivu wanaharakati mbalimbali nchini kwa kuweka wazi kuwa hana heshima nao hata kidogo na wala hajali kuhusu harakati zao. "Sasa kama hao wana harakati, wana harakati hawa, mimi sina heshima nao hata kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaposema wanaharakati wanakimbilia nje ya nchi mnasahau Tanzania ilikuwa center ya wanaharakati waliokuja kutafuta uhuru wa nchi zao

    Ukimsikiliza Museveni na mtoto wake kusema wanaharakati wanajificha kwenye nchi za watu waharibu nchi. Nimebidi kushangaa maana kauli kama hizi zina fanana kauli za hapa kwetu. Sasa kama wanakimbia nyie mnaopenda ushenzi wa serikali ya CCm basi acheni kusema wapigania uhuru na kujisifia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…