wanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    Wanaharakati wanadhani Ku pinga kila kitu ndo uanaharakati hasa huko twitter, Au wanatafta pa kula?

    Kuna watu wamejijengea heshima Kwa Miaka mingi ila Kwa sasa wamekuwa wa kupuuzwa! Mara tatu Samia anataka kujiuzulu mwaka 2017 tarehe 6 June aliandika barua kwenye Suala linahusu kukaripiwa Kama mtoto Mdogo ndani ya korido za ikulu akatishwa kwamba yatakayo mtokea yanaweza kuwa mabaya zaidi...
  2. DustBin

    Udhalimu wa viongozi ndio Ajira ya Wanaharakati

    Viongozi na watawala wakijitahidi kufanya haki, uadilifu na usawa, wanaharakati watakosa kazi ya kufanya. Wanaharakati ajira yao kubwa inayowakalisha mjini ni udhalimu unaofanywa na viongozi au watawala. Ukiona hali ya hewa ipo kimya na wanaharakati hawana cha kusema, basi ujue viongozi...
  3. Ritz

    Lissu, na Wanaharakati kuweni makini mtapeleka Mbowe jela hamna mnachomsaidia kwenye kesi yake

    Wanaukumbi. Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameshaanza kuposti kejeli kwa Rais Samia na Judiciarytz kipindi ambacho Mahakama imesema mtuhumiwa ana kesi ya kujibu. Hakuna Shujaa wa kukaa jela, hata Mandela mwisho wa siku alifanya mazungumzo na Makaburu. Watu wanaposema Busara itumike...
  4. Hismastersvoice

    Wanasheria, TLS na Wanaharakati ingilieni kesi ya Mbowe na wenzake ili haki itendeke

    Mwenendo wa kesi ya ugaidi inayomhusu mhe. Mbowe na wenzake watatu unatia mashaka, tangu mwanzo wa kesi upande wa mashitaka umekua na visingizio vingi vya ugonjwa vinavyowahusu mashahidi, hawa mashahidi 24 wenye maradhi dhidi ya washitakiwa 4 wenye afya imekua kama mchezo wa kuigiza. Nia hasa...
  5. Ritz

    CHADEMA sasa hivi wanashikiwa akili na Lissu, Lema na Wanaharakati

    Wanaukumbi, Tatizo kubwa la vijana wa Chadema na wafuasi wao karibia wote sasa hivi wanameshikiwa akili na Lissu, Lema na wanaharakati huko Team Space kila siku mnajikuaanya na kulishwa pumba mnameza tu. Hakuna taifa duniani ukigusa mambo yanayohatarisha ‘National Security’ serikali...
  6. Linguistic

    Wachambuzi wanaharakati kuhusu tukio la Ligonya

    Wakuu wanaharakati ambao ni wachambuzi wa mpira naona wanashindana kila mtu kujua maana ya tukio la Kigonya jana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. comte

    Hii dhana ya mihimili ati inajitegemea ni dhana isiyokuwepo na inayoaminiwa na wanaharakati waliokwenye ndoto na si uhalisia

    Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala ulio huru kutoka kwa mwenzake. Na hii ndiyo maana ya mfumo. Si sawa kudhani kuwa ipo sehemu ya mfumo...
  8. beth

    Wanaharakati Sudan waitisha maandamano zaidi

    Wanaharakati Nchini humo wametangaza maandamano mapya, wakati hali ya Siasa Nchini humo ikiendelea kudorora baada ya Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok kujiuzulu. Waongozaji wa Kampeni dhidi ya Utawala wa Kijeshi wamesema Waaandamanaji watakuwa wakielekea Ikulu ya Rais hadi ushindi utakapopatikana...
  9. mirindimo

    Wanaharakati mnachangia mnachangia kusambaza yaliyozuiwa

    UNAPOLETA MADA KWENYE SOCIAL NETWORK UNATEGEMEA PIA WATU WAHOJI AU WATAFUTE WASIKILIZE WAONE KISHA WAJE KUJIBU KWA HOJA . NA KWA NINI KILA CONNECTION WEWE INAKUFIKIA KAMA UNAJUA WANAOSAMBAZA WHY USIWARIPOTI PANAPOHUSIKA ??
  10. B

    Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali. Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili...
  11. P

    Wanaharakati wa Twitter wajuaji wa kila kitu, wanafanya kazi muda gani?

    Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?. Wanapenda maoni yao...
  12. Ritz

    Chadema, ya sasa ni chama cha siasa au kikundi cha Wanaharakati wa mchongo

    Wanaukumbi. CHADEMA hakina Sera ya chama madhubuti, kila mtu ni msemaji. Vijana wa CHADEMA kumtukana kila mtu anaejaribu kutoa maoni tofauti na chama chao, bila kujua mpiga kura huwa anabadilika kulingana na Sera za wakati uliopo. CHADEMA wameshindwa kuendesha chama kama taasisi ya umma, kwa...
  13. Suphian Juma

    Upinzani, wanaharakati; hamjahodhi ujuaji na Uhuru wa Kujieleza

    UPINZANI, WANAHARAKATI; HAMJAHODHI UJUAJI NA UHURU WA KUJIELEZA Katika maisha ya binadamu, moja ya haki ya msingi kabisa ya kiasili "natural right" ni kumpa binadamu uhuru wa kusema mbele ya mwenzake. Uhuru huu huitwa Uhuru wa Kujieleza, na huwa sio msaada bali kila mtu anastahili kuupata kwa...
  14. Miss Zomboko

    Wanaharakati waitisha maandamano makubwa Sudan

    Wanaharakati wanaopinga mapinduzi nchini Sudan wameitisha maandamano makubwa leo Jumapili, wakati maafisa wa afya wakisema idadi ya watu waliouwawa imefikia 40. Marekani na Umoja wa Afrika zimelaani ukandamizaji dhidi ya waandamanaji na kuwataka viongozi wa Sudan kujizuia na matumizi ya nguvu...
  15. jMali

    Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

    Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM. Hoja: Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
  16. K

    Wale madada zangu Wasomi wanaharakati

    Huku bongo mnasema wanaume waoga,hawajiamini sijui mfumo dume. Haya utafiti wa huko ulaya.
  17. kiwatengu

    Serikali iwalipe watu wanaotoa elimu kupitia mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya wanaoendesha hii mitandao wakiwemo kina Mexence Melo na wengine ili kuwatia moyo kwa kazi kubwa wanayofanya...
  18. K

    Wanaharakati na wana CHADEMA wamemtelekeza Mbowe

    Igweeeee Kuna kipindi hawa wanaharakati wa mitandaoni walijaribu kuiaminisha jamii kwamba wakikomalia jambo lazima walifanikishe lakini sijawahi kuona mafanikio yao tangu maandamano ya mange kimambi, kumdisqualify diamond, na sasa Mbowe si gaidi Hao wanachama wa chadema ndio kwisha kabisa...
  19. Ritz

    Wanaharakati wetu wengi wao ni waganga njaa wanataka Rais wetu alindwe na Sungusungu

    Wanaukumbi. Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi. Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya...
  20. Ritz

    Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

    Wanaukumbi Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa...
Back
Top Bottom