Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka.
Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa...
Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa.
Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya.
Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa...
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa Diamond Platnumz au kundi zima la WASAFI.
Mwaka 2017 nilikuwa Nairobi na kwenda club ambapo...
Katiba mpya itaundwa tu.
Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k.
Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...
Wanaharakati wanaopinga utawala wa kijeshi nchini Myanmar wamewataka watu kuacha kulipa bili za umeme na mikopo ya kilimo, na kutowapeleka watoto shuleni, wakipinga ahadi ya kiongozi wa kijeshi ya kukomesha mzozo.
Maandamano ya hapa na pale yalifayika katika miji mikubwa nchini Myanmar jana...
Hayati Magufuli alikomesha pasi na ajizi maandamo ya aina yoyote tofauti na mtangulizi wake Mzee JK.
Hoja yake kubwa Hayati Magufuli kuhusu kuzuia maandamo ilikuwa ni muda wa kufanya kazi na haukuwa muda wa kuandamana. Aliweza.
Ndipo kipindi ambacho kwa takribanI miaka mitano si wanavyuo...
Jamani kitimtim tumekiona wote kundi la wanaojiita wanaharakati huru wakifanya yao kuunga juhudi na kushambulia watu kwa mdomo.
Je, bado wanaharakati wa kiwango kile wanayo nafasi kwenye zama hizi?
Nimeshangaa kuona bado wale wanaojiita wanaharakati kutokubali serikali ya mama.
Vitu ambavyo walikuwa wanavilalamikia Mama Samia kishaonesha njia ya kuvitatua, Ila bado hawataki.
Nazidi kushangaa kwanini ni kama wanalazimishaa hivi kumkosoa mama? Au ni biashara hii? Naona sio kawaida
Au kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.