Idadi kubwa ya wanajeshi wa Urusi wameona hamna tija ya kufia kwenye nchi ya watu, wameanza kutoroka huku wakifukuziwa na helkopta.
=======
Russia has deployed helicopters and weapons in the occupied Ukrainian Kherson region in an effort to round up soldiers who had deserted their positions...
Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi.
========
Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces have fought all the way to Kupyansk, a critical node in Russia’s supply lines in Kharkiv Oblast in...
Hali imekua sio, hawaoni umuhimu wa kufia kwenye nchi ya watu.....
Russian troops are reportedly abandoning their positions in Kharkiv amid reports of a Ukrainian counteroffensive in the currently occupied region.
Military analyst Rob Lee shared what he called a "pessimistic" account from a...
Wanawake watatu kati ya Wanajeshi 49 raia wa Ivory Coast wameachiwa huru kutoka katika mamlaka za Mali huku wengine wakiendelea kushikiliwa.
Wanawake hao wamerejea Ivory Coast ikwa ni wiki 7 tangu waliposhikiliwa.
Kundi hilo la Wanajeshi lilishikiliwa tangu Julai 10, 2022 baada ya Mali kudai...
The Ukrainian military has killed 201 Russian invaders and destroyed 12 T-72 tanks, 18 armored and motor vehicles and six ammunition depots on the southern axis over the past 24 hours.
Ukraine’s Operational Command South said this in a Facebook post, Ukrinform reports.
“The situation in our...
Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo
Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
Aisee, hii ni kufuru sasa! Majeshi ya Ukraine yamejaribu kushambulia majeshi ya Urusi huko Kherson, matokeo yake Zelensky kapoteza wanajeshi zaidi ya 560, vifaru 26, armoured vehicles 32 na ndege mbili aina ya Su-25.
=====
Siku zote ukiwa dhalimu lazima yakukute.....
Russian troops were blown up by their own mines while responding to a fake call from pro-Ukrainian partisans early Monday morning, according to Mariupol officials.
The deaths come after more than six months of fighting as Ukraine continues to defend...
Kwa sasa Urusi inaomba msaada wa wanajeshi kutokea popote, hadi wanafuata hawa wa Korea Kaskazini, sema itabidi kwanza walishwe chakula kama miezi miwili ndio waingie kwenye mapambano North Korea offering 100,000 troops to help defeat Ukraine, Russian state media says...
Leo Agosti 25, 2022 Putin ametia saini amri ya kuongeza ukubwa Jeshi kutoka Wanajeshi Milioni 1.9 hadi Milioni 2.04 ikiwa ni miezi 6 tangu kuanza Vita baina yake na Ukraine.
Kwa mujibu wa agizo lililotolewa leo kupitia Wizara ya Sheria, ongezeko hilo linajumuisha ajira mpya za Wanajeshi 137,000...
Warusi wana hasira kwa kutamaushwa na vita ambavyo vinawagharimu sana, mpaka wanapiga mabomu kwenye mashamba sasa.....
Nearly 600 hectares of various sorts of grain have burned down as a result of Russian attacks in the Zaporizhzhia region on Tuesday.
"During yesterday’s Russian missile...
Imekua kawaida kila panapotokea pambano, baadhi yao kwa uwoga wa kupambana wanajipiga risasi kwenye miguu ili waondolewe kwenye vita na kulipwa. Wengi hawapigani kizalendo maana huu ugomvi hawaelewi tija yake, hawaoni sababu kwanini wafie humo.
================
A Russian paratrooper who fought...
China inatarajia kutuma baadhi ya Wanajeshi wake kwenda Urusi kwa ajili ya kufanya mazoezi ya pamoja ya Kijeshi kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 5, 2022.
Mazoezi hayo pia yatahusisha Wanajeshi kutoka Nchi za India, Belarus, Mongolia, Tajikistan na nyingine kadhaa.
Aidha, China imekuwa ikiiunga...
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa.
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi...
Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini humo yamelishutumu jeshi kwa kuwaua zaidi ya watu 40 kaskazini mwa nchi hiyo na kusema kuwa kumekuwa na visa vingi vya utekaji nyara na vifo vinavyohusishwa na Wanajeshi hao
Katika matukio tofauti miili ya watu inadaiwa kukutwa barabarani kati ya...
Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa rumande.
Ivory Coast imekanusha shtaka la shughuli za mamluki na imekuwa ikitoa wito wa kuachiliwa...
Mashambulizi yaliyofanywa na ndege isiyo na rubani na mizinga yameua Wanajeshi 42 Nchini Mali katika shambulizi la Waasi Nchini humo.
Serikali ya Mali imesema katika shambulizi hilo lililotokea katika Mji wa Tessit Wanajeshi 22 walijeruhiwa.
Mara ya mwisho Mali kupata pigo kubwa kama hilo ni...
China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House Speaker Nancy Pelosi.
Pelosi was the most senior US official to visit Taiwan in 25 years, angering China, which sees Taiwan as part of its territory.
What did China say...
Mikwara imeisha, wamesubiriwa wafanye kweli ila ndio kama hivyo USA alishaingia mkataba kuigusa Taiwan umeigusa USA. Sasa Wachina wanageuza baada kupiga bahari mabomu......
China carried out its largest-ever military exercises around Taiwan following a controversial visit to Taipei by US House...
Imebainika kuwa Jeshi la Mali na "Askari Wazungu’ ambao inadaiwa ni Wanamgambo wa Kundi la Wagner la Urusi ndio waliohusika na mauaji ya raia 33, ambapo kati yao 29 wakiwa ni raia wa Mauritania na Wanne wa Mali.
Hayo yamebainika katika ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoelezea kilichotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.