Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo.
Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari...
Maana kwamba HIMARS ni too advanced kutumika na wanajeshi wa Ukraine wenyewe bila kuwa na waelekezaji, ni zana ambazo zimesababisha majanga makubwa sana kwa Urusi na kubadilisha mkondo.
Mpaka sasa zimetumika kulipua maghala 50 za silaha za Warusi pamoja na maangamizi mengine, Warusi wanazisaka...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa changamoto za wanajeshi zinaendelea kufanyiwa kazi na Wizara kwa kushirikiana na Makao Makuu ya Jeshi.
Waziri ameyabainisha haya wakati akiongea na Maafisa na Askari, alipofanya ziara ya kikazi ya...
Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani.
Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira......
Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
Wabunge wa URUSI wamelalamika juu ya operesheni maalumu nchi Ukraine kuwa ngumu kutokana na UKRAINE kutumia wanadamu wasiokuwa wa kawaida- Superhumans- ambao wamekuwa modified kwenye maabara za siri nchini Ukraine na marekani. Madai haya yanafuatia tuhuma za Urusi na China juu ya kuwepo maabara...
Ilikua mwaka 1958 Mfalme Hussein wa Jordan aliomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq ili kukabiliana na mgogoro wa Lebanon. Mkuu wa majeshi wa Iraq, Colonel Abd al-Karim Qasim aliandaa jeshi. Cha kushangaza alilielekeza jeshi kuingia Ikulu ya Mfalme mjini Baghdad. Mfalme Faisal aliamuru askari...
Mali imesitisha utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia mpango wa amani wa MINUSMA kwa sababu za kisualama.
Hatua hiyo imefikiwa hadi makubaliano mengine yatakapofanyika japo haijawekwa wazi itakuwa lini, tamko ambalo limetolewa na Wizara ya Nje ya Mali.
Tamko hilo limetolewa siku nne tangu...
Serikali ya Mali inawashikilia wanajeshi 50 wa Ivory Coast ikidai ni mamluki waliowasili Nchini humo kwa mgongo wa kuwa wanafanya kazi na Umoja wa Mataifa
Msemaji wa Serikali ya Mali, Abdoulaye Maiga amesema wanajeshi hao waliwasili kinyume cha sheria akiwaita watu hao ni ‘mamluki’ na kuwa...
25,000 of Vladimir Putin’s troops have been killed in Ukraine, says UK Defence Secretary
Beb Wallace ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa Uingeleza amrsema kuwa wanajeshi 25,000 wa Urusi wamepoteza maisha wakati wakipigana nchini Ukraine, amehitimisha pia kuwa Ukraine ni mshindi katika vita hii...
Yaani "NATO Response Force", uwezo wa kuhusisha wanajeshi 300,000 kwenye mapambano ndani ya muda mfupi.
Hii ni baada ya kugundua kuwa Urusi ana uwezo mdogo sana kivita, mpaka sasa kainchi kadogo kamemsumbua.
===
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg on Monday said the military alliance is...
Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wanakataa kurejea kupigana nchini Ukraine kwa sababu ya uzoefu walioupata wakiwa mstari wa mbele mwanzoni mwa uvamizi huo. Hii ni kwa mujibu wa wanasheria na wanaharakati wa haki za binadamu wa Urusi. BBC imezungumza na mmoja wa askari mmoja hao.
"Sitaki kurejea...
Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za mkoa wa Donbass na Zaporizhia. Wataalamu wa Ukraine na nje ya nchi wana hakika kwamba, licha ya...
Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi
Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
Kawaamrisha waingie kwenye mapambano wakati brigade yenyewe imefyekwa na kubakia na wanajeshi wachache, ilimbidi atoke nduki huku akilindwa na special forces wa Urusi.....hali mbaya...
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi amekubali kuwaachilia wanajeshi wawili wa Rwanda ambao nchi yake inawashikilia.
Maamuzi hayo yamefikiwa baada ya Rais wa Angola Joao Lourenco kufanya mazungumzo na Rais Tshisekedi, jana Mei 31, 2022, baada ya hapo Lourenco...
Huyu kichaa ataachiwa apigane mwenyewe.... Kuna wanajeshi wameamua liwalo na liwe hawapigani.
_________________
More Russian soldiers refuse to fight in Ukraine
Prepared to face consequences, many Russian troops are disobeying their officers and are not willing to go to Ukraine...
Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo.
Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang.
Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un ambaye ni Kiongozi wa Korea Kaskazini ikiwa ni siku chache baada ya maambukizi kuzidi kusambaa Nchini...
Putin's forces were once again scrambling as Ukrainians maintain a strong resistance in the occupied city in southern Ukraine. On Wednesday, May 18, what was described as a “powerful explosion” that “thundered the city” destroyed a train carrying Russian military personnel and ammunition. Local...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.