Madeni na changamoto za kifedha vinaweza kuathiri afya ya mwili kwa njia nyingi, ikiwemo afya ya Uzazi wa Mwanamke.
Wakati mtu anakabiliwa na Msongo wa Mawazo kutokana na hali ngumu ya kifedha, mwili hutoa homoni za Stress (Cortisol) kwa wingi ambayo huathiri uzalishaji wa Homoni za Kike yaani...
Ni aibu sana au kukuta mtu jasiri akitamka kuwa mizozo na kushindwa kuelewa ni unyumba.
Shida hii inaweza kuwa kwa mwanaume au mwanake kila mtu kuwa na sababu zake mfano utafutaji,kukosekana kwa ubunifu,kupungua kwa mapenzi,kuzoeana na kujuana sana kabla mjaingia kwenye ndoa.
Sababu zengine...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema ndoa nyingi za watumishi wa umma zinakufa kutokana na wenza kukaa mbalimbali na kwamba wiki ijayo vitatolewa vibali zaidi ya 200 ili wasogezwe na familia zao.
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya...
hizi zinaitwa chastity belts
ni za medivial period (zama za Kati)
zilikua zinatumika kama njia ya kudhibiti uaminifu wa wanawake ili wasichepuke
lakini pia, baadhi ya wanahistoria wanaamini kuwa madhumuni yake makuu yalikuwa kuwakinga wanawake dhidi ya ubakaji wakati wa vita na safari...
Hahahahaaaa, wakuu last weekend wife alikuwa amealikwa kwenye harusi ya mdogo wa workmate wa ofisi yao ya zamani, lakini akawa anasitasita kwenda, sasa nikamuuliza kwanini, yeye akasema hana Zawadi yoyote ya kuwapa maharusi licha ya kuchangia kadi.
Ndio nikakumbuka wana ndoa wengi wa zamani...
Habari za jumapili waungwana wa jukwaa hili,
Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe mwenza wake na kudumu nae miaka yote.....jibu linatakiwa kuwa jepesi kuwa
KWA KUWA NI CHAGUO LANGU NA...
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
Kama mada inavyojieleza
Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga
Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume halali mwenye haki ya kutumia hiyo bima.
Mchango wenu tafadhali
Huko kwenu mnafanyaje? na kwanini?
(A) Kila mmoja anafua underwear yake
(B) Hakuna formula maalum
(C) Mume anafua ya kwake na ya mke
(D) Mke anafua ya kwake na ya mume
(E) Dada/kaka wa kazi
Habari za muda huu waungwana wa hapa jukwaani.
Sijui ni mimi peke yangu tu ama ni macho ya wengi pia yanatazama kama nitazamavo mimi....
Nimekuwa nikishuhudia matukio kadhaa ya kustaajabisha, kushangaa lakini pia yana hudhunisha kuhusu matukio ya wanandoa kutoka nje ya na vile vile namna...
Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
Wakuu,juzi kati wife aliniletea kidomo nikamlamba makofi.
So tangu siku hiyo mpaka leo ni kama week ya pili kaninunia.
Je kununiana inafaa kuwa mwisho siku ngapi?
Ni muhimu sana kwa mke na mme kuwa wabunifu kwenye sex kila siku kwa kuzingatia yafuatayo:
1.maandalizi ya sex yaanze mara tu mnapoaganabkwenda makazini
2.amsha amsha ya sex iwe inaendelea baina yenu mnapokuwa makazini kwenu
3.kutafutiana vizawadi vya kuamsha hamasa ya sex baina yenu...
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi.
Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha.
Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika.
Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza...
kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake
Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
Hii sasa ni ajabu ya Karne;
Ina maana kuna waganda wanatumia zaidi ya miezi 6 kabla ya kukutana kimwili baada ya kuoana? Sasa kwa muda huo huwa wanafanya nini?
Mzee wetu gentamycin huko Uganda kazi anayo.
Wanaojua lugha fuatilia wenyewe
---
A Ugandan Member of Parliament has tabled a Bill that...
Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi na mtoto uliyempata na mzazi mwingine inapofika hata kipindi cha likizo unataka ukutane na mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.