Jumamosi wanandoa wengi husingizia kwenda kuhudhuria sherehe za ndoa Kitchen party na birthday party.
Huko wanakoenda kuhudhuria hujikuta wanafanya mambo ya ajabu na aibu kabisa.
Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana.
Sasa ndugu zangu Mungu hapendi hali hiyo pamoja na watumishi wake kuruhusu iwe kwa talaka au pasipo...
Ulysses umri 94 na Lorraine Dawson mwenye miaka 92 wote wa huko west Virginia wanasema ndoa yao hiyo ya miaka 75 ilikuwa na furaha na changamoto nyingi, wakati wanasherehekea anniversary hio mume alivaa magwanda ya kijeshi aliyopigana nayo Vita kuu ya pili ya dunia na ndio mavazi ambayo aliyavaa...
Wamekuwa ni watu wenye visirani na ugomvi kila iitwapo leo-usiku, hasa hasa mwanamke, amekuwa ni mtu wa kwanza kumsema mumewe kwa majirani hasa kwenye vikao vya hisa na vyama! Naomba tu kufahamu sababu ambazo zinapelekea wanandoa wengi kubadili mienendo yao na kupunguza upendo baina yao siku...
Wakuu, ni matumaini yangu kuwa hatujambo wote!
Yawezekana nikawa mgeni, lakini ninastaajabu Sana ninaposikia eti mtu yupo katika ndoa na anabakwa na mwenza wake waliojenga ndoa pamoja!
Niliziona taarifa katika tovuti ya BBC, zikimwelezea mwanaume mmoja ambaye alikuwa akielezea kwa maskitiko...
Wakuu naomba kuuliza hili swali?
Mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi mali ya mama yake aliyefariki akiwa ndoani na baba mwingine? Ikiwa baba ndio aliwakuta mtoto na mama wanajitegemea
Iko hivi wakuu
Ikiwa mama anaishi na mtoto wake baada ya baba mtoto kufariki, wakawa na maisha yao ya...
Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu.
Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
Ndugu wapendwa,
Naomba ombi hili kwa ajiliya wanandoa Kama una mwenza unamwona ana mapepo yanamtesa
Wapo wanateseka na majini mahaba.
Wapo wanandoa wanateseka na roho za wizi. Ndani kwa NDAN
Wapo wanateseka na rohiza uzinzuli kutokana. Na kutubuu imefika Mmoja kaamua twende hivyohvyo...
Salaam.
Happy saba saba day, Twende kwenye topic, Nimekuwa nikikutana na clips nyingi kwenye youtube channels za ma MC's wa shughuli za harusi na kushudia vile watu wanakiwa wanasherehekea kuingia katika ndoa, promises kibao na mambo kedekede, inshort huonesha kwamba kwamba wako smart couple...
Naombeni kuuliza kuhusu umiliki wa mali kwa wanandoa endapo watatengana, mfano,
Mke kama amekuta mmewe tiari kuna mali anamiliki mfano, nyumba je ikitokea mmetengana na hamkua na watoto mke atapata asilimia ngapi ya nyumba au mali na je kipi kitaprove kua hii mali kaikuta au wataoanisha cheti...
Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno. Unakuta Mume na Mke wote wanatoka nje ya ndoa. Mimi kama mwanamume nakiri kabisa tatizo kubwa lina anzia kwa wanaume kwa factors nyingi ila mimi nitaomba tujadili factor moja tu na ndo maana...
Siku kadhaa zilizopita, kuna wanandoa wawili walikuja kupata huduma ofisi ninayofanyia kazi. Katika huduma hiyo kuna fomu walitakiwa kujaza kila mmoja, na kulikuwa na k kipengele cha kuzaja tarehe ya kuzaliwa.
Baada ya kuzipitia fomu hizo, nilipofika kwenye kipengele cha tarehe ya kuzaliwa...
1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo
Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele. Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana...
Ni siku nyingine tena imepita, tumerudi salama majumbani mwetu, kuungana tena na wapendwa wetu, familia na watoto pia. Baadhi yetu hatujarejea, tuko mishe na viti virefu, baadhi tuna sababu za msingi na nyumbani wanafahamu na tumewapa taarifa, wanatusubiri watupokee kwa upendo, kwa furaha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.