Hapo nyuma walianza kukomaa ooh hatufungishi ndoa zenye mimba
Walipooona idadi ya kubariki ndoa ni wengi wakaona wawafungishe tu hivyo hivyo
Hivi majuzi nimetoka kanisa moja Moshi kwenye harusi
Bwana harusi ananesa kabisa
Kila mtu akaanza kuhoji kanisa litafungisha hii ndoa ama lah
Kweli...
Ni mambo ya kawaida yapo na yanaongezeka kila siku.
Nisiwachoshe sana si mbaya kupata uzoefu kwa wale mlioachana kwenye ndoa na jinsi ulivyoteseka ama kufarijika baada ya kuachana.
Je, procedure gani mlifuata mkaachaa kihalaliii ili mkikutana uswazi hakuna kusumbuana
Naamanisha procedure za...
Habari zenu,
Naomba msaada kuhusu hili swala. Babaangu mzazi anataka abadilishe nyumba yke aeke kwa jina ya mama kama kutransfer sasa shida inkuja imefika hatua ya TRA wao wanadaii lzima ilipwe tena 10% syo 3% ya capital gain kisa file limefunguliwa 2022 ila tngu hpo hkuna malipo ilofanyika. Na...
Hello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Bila kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa, Jamii imekuwa stuck katika swala la mwanaume kufanya hivi mwanaume kufanya vile, Sipingi upande wowote ule ila ningependa Tujifunze kitu kidogo pamoja Tuangalie namna gani tunaweza Move fast kimaisha
Tuangalie aina Kuu Mbili za Mahusiano na maisha ya...
Siku moja mume akondoka asubuhi kwenda kazini na kumuaga mke wake anaenda kazini.
Jioni akarudi akiwa na msongo wa mawazo. Mke akamuuliza kulikoni mume wangu.
Mume:- Kazini ofisi imeungua na kuua wafanyakazi wote.
Mke:- wewe umeponaje sasa,
Mume:- Nilikuwa nakunya choo cha jirani.
Mke:-...
1. Kuwa na uhusiano wa kingono na mwingine (sexual cheating). Huu wengi mnaujua. Na ndio kiwango cha juu kabisa katika udanganyifu. Lakini zipo aina nyingine.
2. Kuficha mapato na matumizi (financial cheating). Ukiona mwenza anafichwa kipato na matumizi ujue kaanza udanganyifu. Mara nyingi...
UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA
1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 %
2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18%
3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 %
4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 %
5. kwenye...
Ni Ibris ndio anakudanganya eti ukiwa siglemama ndio utafanikiwa, utakuwa huru na utajitawala.
Wale ambao kama mimi wameruhusu akili zao ziathiliwe na Biblia watajua wanawake wenye ushawishi, matajiri na wanawake wa maana wenye adabu walikuwa ni wake za watu, sio Masingle mama au wanakejeli...
Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha TPF-Net katika kuelekea siku ya wanawake Duniani, leo Machi 7, 2024 wamefanya ibada maalumu kwa ajili ya kuwaombea Askari Polisi wanandoa (Konstebo Noah Simfukwe na Agness Martin) waliofariki Dunia kwa ajali ya gari siku mbili baada ya kufunga ndoa...
Ugomvi ndani ya nyumba ya wanandoa huchukuliwa kama ni jambo la kawaida, Inasikitisha kusikia kwamba ukatili huu unachukuliwa kama jambo la kawaida katika jamii yetu. Watoto huona huu unyanyasaji na kuhishi pia ni jambo la kawaida mpaka wanapo kuwa na kupata ufahamu zaidi na hapo ndio kujua baba...
Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick.
Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
Hizi ni zama za uhuru na usawa ambapo haki za binadamu zinaheshimiwa.
Kwahiyo, hii tabia ya kwamba mkiwa kwenye ndoa ama mahusiano unataka mwenza wako asiwe na uhuru na haki ya kutumia kiungo chake (uume/uke) kwa mtu mwingine ni batili.
Wanaoingia kwenye ndoa ni watu wazima. Sasa mtu mzima...
Imeripotiwa kuwa takribani Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya Talaka kwa ajili kuvunja ndoa katika Baraza la Kata ya Kivavi, Halmashauri ya Mjini wa Makambako Mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia Novemba hadi Desemba 20, 2023.
Mwenyekiti wa Baraza la Kata ya Kivavi...
Ndoa n jambi jema sana.
Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana.
Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa.
Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa
Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii
Wachaga wanasema bado mtasemaaaa.
Sikukuu...
Hii Kwa wanandoa walioana wakala kiapo na kuvalishana Pete madhabahuni.
Biblia inasema apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali Kwa Bwana, Mwanaume unapooa mke sahihi Mungu hua anaachilia baraka zake Mke ni kibali/Baraka ndomana Kuna watu wengi wakishaoa mambo Yao hua Yanakwenda vizuri...
Tendo la ndoa baina ya wanandoa na wachumba ni chachu na kiungo kimojawapo muhimu sana cha kuimarisha upendo, uaminifu, furaha na muunganiko wa wanandoa au wachumba.
Ni tendo muhimu sana linaloweza kuimarisha na kuchochea zaidi uimara wa ndoa au uchumba likitumiwa vizuri, kwa hiyari, ubunifu...
Baada ya Salam.
Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti.
-Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu
-Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba
-Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika
-Kuolewa-kuoa...
WANANDOA NI LAZIMA WA-SHARE PASSWORD ZA AKAUNTI ZA BENKI NA SIMU
Anaandika, Robert Heriel
MTIBELI.
Dunia ya kitapeli huzalisha ndoa za kitapeli, Wanandoa matapeli, Watoto na kizazi cha kitapeli.
Kama mnafichiana namba za Siri za BENKI na akaunti na bado mnadanganyana ni MKE na Mume basi ninyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.