Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini:
Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...
Kwa miaka ya karibuni kumekuwa na migogoro mingi sana ya ndoa tofauti na ilivyokuwa zamani. Changamoto ni nyingi sana,labda sababu ya kipato, wengine ubize wa kazi, wengine mgongano wa mawazo na wengine labda matatizo ya kiafya na wengine ni kutokutilewa aut tu kwenda matembezi au sehemu...
Tena kuna wakati unasikia kabisa mtu anakandamizwa(anangonolewa) vilivyo na sauti ya kuulilia mkurudungu wa aliye kifuani kwake ukiisikia dirishani, ila hapo hapo tena unasikia playlists za gospel songs tupu zinaimba.
Kwa mnaojua mna imani hii ni sawa?
Sijajua kuhusu mambo ya dini kabila au jadi kuhusu wanandoa wawili (mke na mume)hua naona au kusikia kuwa endapo wanandoa upande wa mwanaume ndio anaetoa talaka endapo ataona au sikia kwa ushahidi kuwa labda mkewe kaenda tofauti na masharti ya ndoa yanavyosema.
Je, Mwanamke nae anaruhisiwa...
Ndoa za sasa ni changamoto kubwa sana nipo kitengo ,kesi ni nyingi kweli mapenzi kizunguzungu moyo wa kupenda umeisha kwa sababu zifuatazo
1.Umemtongoza mwanamke baada ya siku mbili atakuorodheshea shida zake zote uzitatue
2.Mwanamke unaachana na mume wako ukidai ni muhuni ana wanawake wengi...
Hali ya maisha haifai, kila kitu juu huku mishahara ikiwa chini na biashara kuwa ngumu sana.
Tozo kila mahali, mafuta ya nishati juu, yakupikia juu, pesa haionekani , athari ni kuzidi kuongeza gepu la matajiri na masikini, Hali hii inadidimiza zaidi masikini huku matajiri wakineemeka na kipanda...
Nimegundua kuwa Wazee wa zamani (Wazazi) walikuwa na Akili Kubwa (japo hawakusoma) kuliko za Wazazi wa sasa (ambao Wamesoma) hadi Vyuo Vikuu.
Utafiti (Uchunguzi) wangu binafsi kama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 98% ya Ndoa ambazo Wanandoa Walichaguliwa na Wazazi wao zimedumu na zinadumu.
Ila...
Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli!
Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita.
Tena wengine wanafikia hatua...
Kwanza mm sio muumini wa watu kupeana taraka.pili ndoa sio Jambo la kukurupuka tu ndugu zangu.nitaanza kuwapA ushauri wanaume;
*Jamani tupende kupunguza na kudhibiti hasira zetu tambueni pia kua wanawake nao wameumbiwa hasila
Unapochukua maamuzi magumu fikilia mala mbili michepuko sio...
Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza.
Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao.
Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
Hii imekuaje japo mapenzi hayana ratiba maalum. Je hii ni Sawa?
Inakuaje inapofika usiku mmesambaa kwenda kulala mwanaume anabaki seblen aidha kuchati na simu au kuangalia zake tv.
Mwanamke kutokana na pilika za kazi + za nyumbani, watoto unaingia kulala dakika 10 tu usingizi ushakupitia tena...
Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa!
Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea.
Najua wengi hapa watasingi waume hawatunzi. Hapana.
NINI ITASAIDIA KUEPUSHA VIPIGO NA MAUAJI BAINA YA WANANDOA?
Mwanamke hii inaweza kukusaidia mwanamke Kijana ambaye unaingia Ndoani.
1. Hakikisha kabla hujaolewa uwe na Elimu sahihi juu ya Ndoa.
2. Unapoamua kwamba unataka kuolewa hakikisha unatafuta nguvu hizi tano ziwe kwako.
i. Nguvu ya...
Hakuna watu wanafki kama watu walioingia kwenye NDOA na hata hawa wapambe. nasema ni wanafki zaidi ya walio nje ya ndoa...
Kama una hako kamsemo kakuwaambia watu au kuelezea kesi za watu huku ukiitaja hii sentensi hebu iache mara moja unajiaibisha.
“amelala/kafumaniwa na mchepuko tena kwenye...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Siriel Mchembe amelazimika kupiga marufuku Wanandoa wa Wilaya hiyo kuacha kusoma msg kwenye simu za wenzao ili kuepusha migogoro na vifo vitokanavyo na wivu wa kimapenzi, ameyasema haya kwenye maziko ya Kijana wa miaka 35 aliyeuwawa kwa kukatwa mapanga na kuchomwa visu...
Kuna rafiki yangu mmoja yaani anapendana mnooo na mume wake yaani nadhani ile ndo ndoa pekee hapa nchini.
Mume sio Tajiri wala Hana kazi nzuri kiivo maisha Yao ya kawaida nyumba moja, Gari moja na mke sio mzuri hata shape sura kawaida saana yaani kama una mrate kwenye A to F ni D Au E yaani ila...
Umeshawahi kujiuliza kwa nini kuna jamaa mke wake unamuona wa kawaida sana lakini wanaishi kwa amani kabisa na wanapendana?
Ni kwa sababu wamekuwa marafiki ndani ya ndoa, siri ya rafiki hata awe mbaya kiasi gani hauwezi kuchagua sura yake akiwa mshkaji ndio mshkaji huyo.
Kuna watu wana...
Habari wadau,?
Binafsi nina swali najiuliza sana. Why sijawahi kusikia wanandoa wameuana Zanzibar ama Pemba?
Je, huko hakuna usaliti ama ndoa zao zina miujiza ya ziada.?
Bara kuna kesi nyingi hasa za mume kumuua mkewa ama kumjeruhi ila Zanzibar why hapana?
Nimefanya uchunguzi sio rasmi kwa wamama wawili watu wazima Waliodumu Kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 20 Mmoja akiwa na watoto na Mwingine akiwa na watoto na wajukuu Kabisa, Wote story zao zilifanana, ingawa ni watu tofauti hawajuani, utaskia mama anasema huyu mwanaume alienioa, wala alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.