Siku moja mume akondoka asubuhi kwenda kazini na kumuaga mke wake anaenda kazini.
Jioni akarudi akiwa na msongo wa mawazo. Mke akamuuliza kulikoni mume wangu.
Mume:- Kazini ofisi imeungua na kuua wafanyakazi wote.
Mke:- wewe umeponaje sasa,
Mume:- Nilikuwa nakunya choo cha jirani.
Mke:-...