Watu wasiojulikana na waliojihami kwa silaha katika mji mkubwa zaidi wa watu wanaozungumza Kiingereza nchini Cameroon, wamewaua takriban watu tisa, wakiwemo wanandoa wapya.
Simplice Lontsi Tsomene, 37, na Hélène Raisa Tanga, 25, walikuwa wazazi wa watoto watatu na walikuwa na duka la simu...