Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini:
Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...