Wanaume WENGI enzi hizi wanaishi kwa machungu na sonona za hali ya juu kutokana na kutowaeelewa wanawake na tabia zao halisi.
Wakati wasichana wakipewa taadhari juu ya uongo wa wanaume, wavulana hukua bila taadhari yoyote wakiamini wanawake ni wema, wanakuja kugundua a awake ni wanafiki...
Huo ndo ukweli. Alaf ukiwakuta huko nje vijiweni na umu jf wanavotunisha vifua waonekane wake zao wanawasujudia kumbe wao ndo wanawasujudia wake zao 😂 wanawaogopa wake zao mpaka wanatia huruma wengine wamegeuka mazoba wanapokua majumbani 😂😂 mbaya zaidi baadhi ya wanawake hawajui kama waume zao...
Wakuu huu mwaka 2025 hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe yote yatabomolewa na kugeuzwa kwa wakati wake.
Leo mtuambie wanaume ambao wake zenu wanafanya kazi na majukumu yote ya nyumbani kuwaachiwa wadada wa kazi. JE NI KIPI BORA KATI YA KULEA FAMILIA NA KUFANYA KAZI?. Pengine sisi tulioa wamama...
Dah! Kweli mambo yanakwenda kasi sana yahani wanaume wa hiki kizazi hawana tofauti na wanawake.
Wanaume hamujiamini kabisa, sijui tatizo ni nini?
Yahani mtu unaona mpenzi wako amesimama tu na mwanaume mwingine we unapaniki, then hata bila ya kujua kasimama na Nani wewe ushakumbilia jamii forum...
Ndugu zangu kufuatia mwaka huu mpya mwanzoni kabisa ni bora kwa kifupi kuweka huu ukweli mchungu kabisa ili watu wajitafakari upya.
Nikweli tunawachezea na kuwaacha na kwenda kuoa na kuolewa na walio chezewa hivyo hivyo.
A) WANAUME AMBAO HAMJAOA
Wanaume wenzangu unapokua na mwanamke kwa...
WANAUME ni watu pekee ambao tunaweza kuvaa pair moja ya kiatu kwa mwaka mzima ili tu tutimize mahitaji ya familia zetu.
(chakula, ada za watoto, matibabu, mavazi, malazi nk.)
Wakati mwingine tunadharaulika na kudhalilishwa sehemu tunakotafuta riziki lakini hatuchoki.✊️
Much respect to us🤛
Wa kwanza ni The Main Guy – Yule ambaye anampenda na kuvutiwa naye. Huyo mara nyingi hajali sana kuhusu yeye.
Kisha kuna wa pili, The Backup Guy – Kawaida ni mwanaume mzuri anayemtaka. Ni mzuri lakini yeye hamvutii. Anakuwa rafiki tu, na anahifadhiwa endapo yule anayempenda atamvunja moyo...
Naomba niwashauri wanaume wenzangu, mwaka mpya huu wa 2025 unataka kufanikiwa chagua mdada mmoja bonge mzuri anayejitambua jiweke hapo tulia utafanya maendeleo haraka sana.
Wadada mabonge wanajua kupenda sana wametulia ukimpenda anaridhika hawana tamaa hata kidogo.
Wanajielewa na wengi unakuta...
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani
Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu
Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa...
Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!.
wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano maana mahusiano ni mashirikiano ila ajabu, unashughulika wewe tu jasho linakumiminika, macho...
Hiyo ni kwa mujibu wa chapisho la Jarida la The Sun, ambapo limeeleza kuwa ngono kati ya roboti na Binadamu wa Kike itakuwa ya kawaida zaidi kuliko Wanaume.
WANAWAKE watakuwa wanawanyima wanaume wanapotaka kupata hali ya joto na wanaweza kuanza kuzipenda mashine hizo, kulingana na ripoti.
Dk...
Kelele kubwa inayopigwa na wanaume wa Tanzania kukatisha tamaa wanaume kutembea na wake za watu inatokana na inferiority complex(hali ya kujihisi duni).
Hakuna mwanaume anayejiamini atakaa anafikiria mke wake au wake za watu kutoka na wanaume nje ya ndoa.
Kauli za "mke wa mtu ni sumu" ni kauli...
Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya.
Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo.
-------------------------------------------...
30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao.
Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
Mwanaume amevaa kaptula kisha ana mguu wa beer. Mguu mnene kama wa mwanamke. Nimejisikia vibaya jirani wanasema "jamaa ana mguu mzuri wa bia kama angekuwa binti ingekuwa magoli sana"
Mhusika anazunguka zunguka tu hapa bar mara kaenda mbele mara karudi.anajisikia fahari kabisa huyu bwege. Mguu...
Mkeo au mpenzi wako akikuambia muongee huwa unawaza nini? Najua hili ni swali linalochukiwa na wanaume walio wengi.
Tuambie huwa unawaza nini?
Binafsi mimi huwa najua shida ni hii simu yangu maana ndiyo huwa inaniletea matatizo kila kukicha. Nikiskia tuongee tu najua basi kuna kitu...
Mwamanaume mmoja huko Ufaransa amefungwa miaka 20 kwa kosa la kumbaka aliyekuwa mkewe na kualika wanaume wengine 50 kumbaka mkewe kwa muda wa miaka 10.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Dominique Pelicot alikuwa anambaka mkewe Giselle Pelicot (Mrs) baada ya kumpa dawa za usingizi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.