wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. matunduizi

    Ni kweli watoto wa English Medium wana IQ kubwa kuliko wetu kayumba?

    Kazi ya elimu sio kumuingizia mtu vitu kichwani, kazi ya elimu ni kumsaidia mtoto kuugundua na kuufanyia kazi uwezo alionao. Shule zetu za Kayumba hazimpi mtoto nafasi ya kuuonyesha na kuuvumbua uwezo alio nao bali mazingira yanamfanya awe mjinga zaidi hata kama anatapa A. Mazingira ya Shule...
  2. Yoda

    Jamii zinawatengeneza wanaume kuwa viongozi kimfumo, wanawake wanahitaji juhudi na sifa za ziada kuwa viongozi bora

    Katika sehemu nyingi za dunia jamii zimekuwa zinawajenga au kuwatengeza wanaume kuwa viongozi kimfumo kwa kipindi chote cha maisha ya binadamu. Tukichukulia jamii zetu mtoto za sasa kwa mfano mtoto wa kiume ndiye anachunga mifugo porini na ndiye msimamizi wa mbwa nyumbani, haya ni mambo ya...
  3. Rorscharch

    Wanawake njooni hapa mfahamu wanaume tunataka mwanamke wa aina gani

    Tumekaa Wakataa Ndoa na tulio ndani ya Ndoano, tumekuja na Ukweli Mchungu kwa Faida yenu wanawake Ndoa sio lelemama, sio karata za Bahati Nasibu, na kwa hakika sio safari ya majaribio. Hii ni safari ya milele inayohitaji maarifa, uvumilivu, na upendo wa kweli. Tukiwa tumejifunza mengi kupitia...
  4. D

    Vyakula wakipika wanawake kwenye shughuli mara nyingi huwa haviivi kuliko wakipika wanaume sijui watatizo gani hawa ndugu zetu

    Zunguka kote! Ukikuta kuna sherehe au msiba halafu wapishi wawe wanawake mara nyingi chakula kinakuwa kibovu mno kuliko wakipika wanaume! Wanawakwe huanza upishi kwa mbwembwe nyingi! Kuchambua mchele, kumenya viazi, vitunguu wanamenya, tena kilo zikiwa nyingi huwa wanagawana masufulia ili...
  5. Sisa Og

    Wanaume Wote Tungekuwa SIGMA Ingependeza.

    Natuamaini hamjambo wana JF? Niende kwenye mada sasa. SIGMA MALE NI NINI? Hawa ni wanaume Tiger. Wanafananishwa na Tiger sababu ya sifa zao kama: kujitegemea (hawana vizinga), hawana maneno mengi (sio wakimya ila ukipiga nao stori sahau habari za umbea, mitandao au udaku), mysterious sana...
  6. X

    Wanaume tunakumbushana kuelekea msimu huu wa sikukuu. Kama wewe huwa unafanya hivi basi ni mpumbavu

    Huu ndio uhalisia wa wanaume wengi wapumbavu kwenye mahusiano na girlfriends au wapenzi wao Kwenye birthday ya mwanamke mwanaume mpumbavu ndiye humgharamia atamnunulia wig au salon n.k. Kwenye birthday yake malaya hamnunulii zawadi yoyote. Anaishia tu kumuwish bday then she only opens legs for...
  7. ngara23

    Mwanaume Baki na chako mwezi December, ni kipindi cha kuwa single Kwa wanaume

    Nawapa mbinu ya kimafya, Hii mbinu sitarudia tena kuitoa Ukipuuza usije unalia January Kipindi hiki ndo washamba wanapata mademu na majukumu mapya na magumu Kipindi hiki ndo utalipa nauli za kwenda Moshi Kipindi hiki ndo utamnunulia viwalo Kipindi hiki Watoto wake wapo likizo laZima uwatoe...
  8. B

    Wanaume watatu wamtuhumu Diddy kuwabaka.

    Wanaume watatu zaidi wamemshutumu Sean "Diddy" Combs kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kundi la kesi mpya zinazodai mwanamuziki huyo wa rap aliwapatia dawa za kulevya na kuwanyanyasa. Malalamiko hayo, yaliyowasilishwa kando katika Mahakama Kuu ya New York siku ya Alhamisi...
  9. B

    Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

    Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men. Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi. Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao. Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka...
  10. Waufukweni

    Geita: Wanaume kutosikilizwa kumechangia msongo wa mawazo na Vifo kwenye ndoa

    Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo. Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
  11. F

    Wanaume tunawashambulia wanawake kupita kiasi

    Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza Wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it. Hapana hii si sawa
  12. R

    Wanaume: Munatumia njia gani kuwasiliana pengine hata kukutana na mzazi mwenzio aliyeolewa?

    Habari mara nyingi Watu wengi wanajikuta wamezaa nje ya ndoa na mwenzie kuolewa Na mnamtoto tayari. Mtoto anahitaji malezi ya baba na mama. Sasa njia gani unatumia kuwasiliana na mzazi wenzio aliyeolewa tayari afu utakuta huko anaishi na mtoto wako au mtoto unaishi naye sometimes mtoto atataka...
  13. Lugano Edom

    Ukweli mchungu ambao wanaume hawapendi kuujua

    Ukweli Mchungu Ambao Wanaume Wengi Hawapendi Kusikia Kisaikolojia, mwanaume anapoteza mvuto anapokuwa: 🌀 Hana malengo: Mwanaume asiye na ndoto au juhudi huashiria kutoendelea maishani. 🌀 Ana utegemezi kupita kiasi: Kutafuta uthibitisho au kuhitaji umakini kila mara huua heshima. 🌀 Hana...
  14. Money Penny

    Wanaume wanatoa hela sana, hata kabla hajalala na wewe, ni vile unajiweka kwake ndio maana hupewi

    Nyieee Wanaume viumbe rahisi sana Alafu wanaume wanatoa sana hela Mwanaume kutumia mil 2 kwa siku kwasabaabu amevutiwa na wewe ni kitu kidogo sana Ushauri: Wanawake wote na wadada, mlioolewa na ambao hamjaolewa Jamani 1. Jipendeni, vaa kama mwanamke, jipende - be feminine 2. Usitoe mzigo...
  15. Waufukweni

    Wanaume waililia Serikali ya Kijiji kisa kunyimwa Unyumba na Wake zao

    Wakuu Mwenyekiti wa kijiji cha Mloda kata ya Mlowa barabarani, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Adam Philemon amesema miongoni mwa malalamiko yaliyokithiri katika kijiji hicho ni wanaume kunyimwa unyumba, huku akiwataka wanaume kutoa taarifa za vitendo hivyo kwenye sehemu husika ili kutokomeza...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Tangu Mungu amuulize Adamu, Adamu uko wapi? Wanaume hatupendi kabisa kuulizwa hilo swali

    Ukweli ndo huu mara tu tukiulizwa swali hili upo wapi? maswali huwa ni mengi sana kichwani. Ukiwa sehemu hatarishi hapo sasa ndo wasiwasi unakuwa mkubwa unajiuliza hivi kaniona au kaambiwa nilipo. Inaweza chukua dk1-2 kujibu swali hili mazee.Mara nyingi huwa ni mtego usikurupuke kujibu kama...
  17. kwisha

    Naonaga mimi sio kama wanaume wengine

    Ivi najiulizaga kama mimi ndo nimeumbwa tofauti na wanaume wenzangu sijuagi kabisa Mimi siwezagi kutoka na demu ambaye sio mke wangu au mpenzi wangu Na nikitoka na mwanamke fulani ni lazima yule wa kwanza niachane naye alafu niwe na mwengine siwezagi kukaa na wanawake wawili au watatu kwa...
  18. Shanily

    Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    Yaani wanaume wengi wakioa wanadhani wameoa watumishi. Yaani kuosha vyombo, kupika , kufua ndo majukumu yake hayo yalomleta, ikitokea yamefanywa tofauti umekosea basi utanangwa mtaa mzima kama vile mwisho wa mwezi Huwa anakulipa. Ukiona mke hajui kufua, si ufue mwenyewe mikono huna!?. Hajui...
  19. D

    Katika uchunguzi wangu nilioufanya, nimegundua hizi sifa za wanaume wa Dar

    Katika uchunguzi wangu nilioufanya kwa miaka kadhaa nimegundua yafuatayo: Wengi wao wanapenda kushidia chipsi/yai Nguvu hawana wamekaa kama mrendamrenda watoto wa mama Hapa na pale tu usafiri Kama si kasusu, kimoko chali Wanapenda kuvaa vikaptura kuonyesha sehemu kubwa za maungo yao Pia...
  20. A

    Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

    True story;
Back
Top Bottom