Siku ya Kimataifa ya Wanaume huadhimishwa kila mwaka tarehe 19 Novemba, ikiwa na lengo la kuangazia changamoto wanazokabiliana nazo wanaume, kusherehekea mafanikio yao, na kuhimiza usawa wa kijinsia.
Madhumuni makuu ya siku hii ni pamoja na:
1. Afya ya Wanaume: Kuhamasisha ufahamu juu ya...
Achilia mbali raha ya kusoma whatsap text au kupokea video call kutoka kwa mpenzi umpendaye, unaijua raha ya kupokea barua ukiwa shuleni toka kwa mpenzi wako ikiwa imefungwa na sticker za kopa na ndani unakutana na dedication za nyimbo bomba enzi hizo kama Mimi na wewe Mr blu, Nataka niwe na...
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni...
Wakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.
Shida yenu ni nini kwani? Nani...
Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada...
Yeeeerrrrreeeeh!
Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana.
Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.
Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto inayokukabili.
Hutakiwi kulia hovyohovyo hadharani misibani huko.
Mwanamme unatakiwa kuwa na kifua...
Amin siku hizi wanawake wamekuwa ni wasaliti kuliko wanaume, unakuta mwanamke ana wapenzi si chini ya watano na unampatia kila anachokitaka, sijui ni tâmaa, utandawazi ama fashion?
Mbaya zaidi hawakubali kabisa ukiwauliza kucheat, na wengine ni wake Za watu kabisa.
Wanachokimaanisha hapa hawa Wanawake si hasa hayo Maneno Manne tajwa hapa katika Kichwa changu cha Habari bali ukitaka kujua / kukijua kile wanachokimaanisha hasa nakuomba chukua kila Herufi za mwanzo za hayo maneno yaani katika Care chukua herufi ya mwanzo ya C, katika Antettion chukua herufi...
Katika mahusiano, mwanaume amebebeshwa mzigo mkubwa wa majukumu na matarajio, ambayo kwa kiasi kikubwa yamejengwa na miiko ya kijamii na tamaduni zetu. Kwa mfano, jamii inamtegemea mwanaume kuhakikisha makazi yapo (swali la kwa nini hajajenga linaelekezwa kwake, tofauti na mama mlezi anayeweza...
Wanaume heshima kwenu.
WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA.
Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu
hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani.
Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
Kipimo cha akili na uwezo wa kifedha kwa Mwanaume ni namna anavyocontrol hisia zake za mapenzi.
Duniani kote mwanaume mwenye akili hapendi migogoro kwenye ndoa yake wala maisha yake.
Ndio maana hata wale waliofanikiwa kiuchumi, masadaka au siasa hawaoi kabisa au wana kuwa na mwanamke mmoja tu...
KIUKWELI Mimi nmeshindwa, vishawishi nivingi hapa mjini, kwenye mitandao na mitaani ndio usipime, vishawishi ndio hatari kabisa.
Natamani nitafute hata mganga aniloge niache tamaa ya kutaka Kula kila nitakachokiona, am tired! natamani Leo iwe mara ya mwisho isijirudie tena kufanya huu ujinga...
Salaam wakuu.
Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA
Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama.
Yaani kikubwa tattoo, na tattoo yenyewe iwe inaanzia kwenye waist kushuka chini.
Nawasilisha...
Watawala wetu siku zote na muda wote wanataja wanawake, wanawake, wasichana, wasichana muda wote kwenye mipango yao. Wanaume na wavulana hawasikiki hata kidogo.
Kama atajitokeza mgombea mwanaume anaeaminika (sio Lissu) patachimbika. Vijana wa kiume wanavuja damu kwenye mioyo yao. Hawajisikii...
Weekend yenu vipi,
Kuna stereotype ipo kwenye jamii inayosema kuwa kila mwanaume ana michepuko 5 kwenda mbele, kiuhalisia kwa ground mambo hayako hivyo. Wanaume wengi tunapenda kulala na wanawake wengi tofauti, ila wenye uwezo wa kufanya hivyo ni wachache
Wanaume players wenye uwezo wa kuwavua...
Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy.
Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua hayakuhusu pita hivi ↪️
Ilikuwaje ulikuwa unamjali mwanamke wako lakini sahizi hata akwambie anaumwa unaona sawa tu kama siku nyingine
Ilikuaje ukaanza kumaindi vitu vidogo vidogo mfano hata matumizi ya kawaida ya nyumbani (pesa ya matumizi kulipa deni la Muha)
1. WADANGAJI hawajawahi kuwa na huruma na pesa zetu hata familia zetu.
2. WADANGAJI hawajawahi kuwa na upendo siku ambazo mifuko haina kitu.
3. WADANGAJI hawawezi kukuletea uji ukiwa hospital au kuja kukujulia hali
4. WADANGAJI hawana huruma na watoto wako atakukwapua kila kitu
5. WADANGAJI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.