haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,572
- 3,863
Kama ulifanya mapenzi bila ya ridhaa yako /kulazimishwa, maana yake ulibakwa, hili linawakuta wanaume wengi sana ila wao wanaona kama ni zali la mentali. Mimi kuna dada alinibaka na hadi leo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu.
Kipindi nilienda likizo kwa bibi, kule kuna nyumba mbili, moja ilikua na mpangaji mdada. nami nilikua nalala huko na mdogo angu. sasa yule dada hakua na mume na ni mgeni maeneo yale mana ni ajira za serikali. nilimchukulia kama dada angu mana ni mkubwa na nili mheshimu sana.
Alianza kuniiita nimsaidie kazi zake za kazini chumbani kwakwe, siku nyingine alikua na nguo zisizo za staha, nami niliamini kua ni vile ameniona mimi ni mdogo hivyo na yeye ni dada, hamna shida, kumbe alikua na mishen zake.
Siku moja mdogo angu akiwa hayupo, aliniita chumbani kwake kua anaumwa nimsindikize hospital, nikaenda chumbani kwake, akasimama kisha akasema anasikia kuanguka, akankumbatia, mi nimemshika tu kama dada, akatuliaa, nikamwambia basi ngoja nikawaambie nyumban kua unaumwa.
Akabadilika akaniambia" kwani we ni mtoto?" mmh hapo akili ikaanza kunijia, kisha akakaa kindandani akanivuta na mimi kitandani, hapo nikaelewa anataka nini.
Kitu cha ajabu nikiwa nimekaa nikashangaa anafungua boksa, kisha nikasikia utamu mkali sana, kumbe alikua ananinyonya na ndio ilikua mara yangu ya kwanza ku experience kile kitendo.
Ni jambo ambalo tangu mara ya kwanza namuona sikutarajia lingetokea kamwe, kifupi alinibaka mana sikua na ridhaa ya kitu kile. mbaya zaidi, yule dada alikua na box la kondom chii ya kitanda, kitu ambacho kinaonesha ni mkarim sana kwenye hiyo secta, ni Mungu tu hakunipa ugonjwa wowote