Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
677
Reaction score
1,234
Habari everyone.
We're too weary... you did it long enough, no more chance for that.

haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi.

MMU kuwa jukwaa la mahusiano haimaanishi kila upuuzi wa mtu binafsi ni wa kuja humu kujaza servers na kulia lia kuomba ushauri.

kwa nyuzi na Natafuta Ajira namna zilivyo nyingi na namna alivyoanza zamani kuandika, ni wazi kama wengi wakiwa na nia ya dhati ya kubadili misimamo, huu uchuro wa hili wimbi la tunaowaita wanaume wenzetu kila uchwao kulia lia humu litapungua.

inaonekana wengi wanapitia zile nyuzi za natafuta ajira halafu wakitoka hapo wanasahau kila kitu,

sipondei mtu yeyote ila malalamiko mengine yaayoletwa humu ni ya kipuuzi sana, na ya kitoto.
halafu si ajabu unakuta mhusika ni 35+ kabisa.
mbona Robert Heriel Mtibeli min -me na wengine wengi tu hawalii lii na hatuoni thread zao za kulia lia na kuomba ushauri kwenye vitu vya kipuuzi?

mbona Natafuta Ajira na Mshana Jr hatuwaoni kuja nanyuzi za kijinga za kujiliza liza na kuomba ushauri kwenye vitu vya kijinga?

humu ni wazi na dhahiri kabisa wengi, ni traumatized na wana matatizo ya kimahusiano.

hili ni jukwaa huru... haipendezi wengine tupo on mood tua scroll mara ghafla unakutaa na uzi mtu anaomba ushauri kwenye ishu ya kijinga kabisa. ni turn off kwetu wengine.
yaani mimi na umri huu wa miaka 30, kwa picha ya wengi humu MMU bila shaka kuna 'mabroo' wengi sana nawazidi upeo na akili ya kuchakata mambo na kufanya maamuzi yenye tija.
 
Mkuu watu wana maparody yao ya vilio! Kutolialia haimaanishi hawapitii magumu!
Kuchakata mambo kila mtu anaweza, raha ya ngoma uingie mwenyewe uicheze! Mko busy na theories wakati practically hakuna kila kitu, kajaribu kuyaishi hatua kwa hatua kama hujaja na milio humu😃
 
Mimi naomba ushauri, mke wangu ameniacha nifanyeje?

Mkuu watu wana maparody yao ya vilio! Kutolialia haimaanishi hawapitii magumu!
Kuchakata mambo kila mtu anaweza, raha ya ngoma uingie mwenyewe uicheze! Mko busy na theories wakati practically hakuna kila kitu, kajaribu kutaishi hatua kw ahatua kama hujaja na milio humu😃
nime date na wanawake wengi ikiwemo wale royal family, uwajuao na usiowajua, na wale wa kawaida... na mpaka sasa nina interact nao... napitia changamoto kwani kila mmoja anapitia, ila nazichakata na kuzitatua mwenyewe pasipo kulia lia humu hovyo hata kwa ishu za kitoto... too much
 
nime date na wanawake wengi ikiwemo wale royal family, uwajuao na usiowajua, na wale wa kawaida... na mpaka sasa nina interact nao... napitia changamoto kwani kila mmoja anapitia, ila nazichakata na kuzitatua mwenyewe pasipo kulia lia humu hovyo hata kwa ishu za kitoto... too much
Tatizo hawatumii bongo zao sawa sawa
 
Kwanza humu ni jukwaa la kiume, sina takwimu lakini nadhani wanaume ni wengi kuliko wanawake na hivyo ni rahisi mada zao kutawala zikiwemo hizo za kulia lia.

Pili hili ni jukwaa fiche, ni zuri kwa afya ya akili an ego, mtu akiandika humu hata hatumjui ni vyema hatutomjaji in personal.

Tatu ni kitu cha kuwa encouraged, kulia lia ni kuzuri kwa afya ya moyo 😅 Waache walię lie sisi tupo hapa tuwapige spana watakomaa eventually.
 
Mambo n mawili kwenye hizo mada

1. Mada ni changamsha genge

Au

2. Hitimisho analo, anakuja kutafuta uhalalisho tuu wa maamuzi yake.

Ndo mana mm Siwez kuwa mshauri kwa watu wanaoweza kulala uchi pamoja.
Hata hao wa upande wa pili wa kujifanya mr right Wananyooshwa vzr tu! Ila kujifanya wameyapatia ndio kuja na story zisizo na makando kando kitu ambacho hakiwezekani katika ulimwengu wa sasa labda ujao! Haya sasa miezi michanga akili kumkichwa wanatafuniwa mpaka jinsi ya kujilia punani! Kina ronaldo na pesa zao yanawanyoosha sembuse nyinyi wa tandahimba hebu hukoo..💃🏽
 
nime date na wanawake wengi ikiwemo wale royal family, uwajuao na usiowajua, na wale wa kawaida... na mpaka sasa nina interact nao... napitia changamoto kwani kila mmoja anapitia, ila nazichakata na kuzitatua mwenyewe pasipo kulia lia humu hovyo hata kwa ishu za kitoto... too much
Ndio mjue kwamba mnazidiana upeo kiasi cha kutegemea kila kijana ameze mafunzo yenu ni uongo! Mnaparamia sana wake kwa vigezo vya kuokoteza mitandaoni, ni aibu hata kumweleza mtu kuna jambo umejifunza mtandaoni unalinapply kwenye real life na serious situation! Matured men can never depend on social media advice nakwambia! Mwingine hata kama Walikuwa vizuri tu na mkewe atayabanaga kisa kamsoma fulani, huku fulani ikifika usiku mpaka adondoshe chozi ndio atanuliwe mguu!
 
Back
Top Bottom