Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

Nyie ndio mnaonaga wanaume wanaolia machozi ni viumbe weak....mkuu badilika it's OK mwanaume kulia, wote tunaumizwa
Et mwanaume hapaswi kulia 🤔
Mtu ana minywa nyumbani kama kobe hana sauti
Na bado huku JF nako anakatazwa kulia jamani heh

Cha kufanya hapo mtoa mada ukiona uzi wa namna hiyo we scroll tu achana nao
 
Kwanza humu ni jukwaa la kiume, sina takwimu lakini nadhani wanaume ni wengi kuliko wanawake na hivyo ni rahisi mada zao kutawala zikiwemo hizo za kulia lia.

Pili hili ni jukwaa fiche, ni zuri kwa afya ya akili an ego, mtu akiandika humu hata hatumjui ni vyema hatutomjaji in personal.

Tatu ni kitu cha kuwa encouraged, kulia lia ni kuzuri kwa afya ya moyo 😅 Waache walię lie sisi tupo hapa tuwapige spana watakomaa eventually.
Jirani, naomba nisiongeze neno nisije nikaharibu...🤗
 
Habari everyone.
We're too weary... you did it long enough, no more chance for that.

haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi.

MMU kuwa jukwaa la mahusiano haimaanishi kila upuuzi wa mtu binafsi ni wa kuja humu kujaza servers na kulia lia kuomba ushauri.

kwa nyuzi na Natafuta Ajira namna zilivyo nyingi na namna alivyoanza zamani kuandika, ni wazi kama wengi wakiwa na nia ya dhati ya kubadili misimamo, huu uchuro wa hili wimbi la tunaowaita wanaume wenzetu kila uchwao kulia lia humu litapungua.

inaonekana wengi wanapitia zile nyuzi za natafuta ajira halafu wakitoka hapo wanasahau kila kitu,

sipondei mtu yeyote ila malalamiko mengine yaayoletwa humu ni ya kipuuzi sana, na ya kitoto.
halafu si ajabu unakuta mhusika ni 35+ kabisa.
mbona Robert Heriel Mtibeli min -me na wengine wengi tu hawalii lii na hatuoni thread zao za kulia lia na kuomba ushauri kwenye vitu vya kipuuzi?

mbona Natafuta Ajira na Mshana Jr hatuwaoni kuja nanyuzi za kijinga za kujiliza liza na kuomba ushauri kwenye vitu vya kijinga?

humu ni wazi na dhahiri kabisa wengi, ni traumatized na wana matatizo ya kimahusiano.

hili ni jukwaa huru... haipendezi wengine tupo on mood tua scroll mara ghafla unakutaa na uzi mtu anaomba ushauri kwenye ishu ya kijinga kabisa. ni turn off kwetu wengine.
yaani mimi na umri huu wa miaka 30, kwa picha ya wengi humu MMU bila shaka kuna 'mabroo' wengi sana nawazidi upeo na akili ya kuchakata mambo na kufanya maamuzi yenye tija.
Mbona umetufokea sana! Kwani tumekukosea nini! 😊
 
Kwanza humu ni jukwaa la kiume, sina takwimu lakini nadhani wanaume ni wengi kuliko wanawake na hivyo ni rahisi mada zao kutawala zikiwemo hizo za kulia lia.

Pili hili ni jukwaa fiche, ni zuri kwa afya ya akili an ego, mtu akiandika humu hata hatumjui ni vyema hatutomjaji in personal.

Tatu ni kitu cha kuwa encouraged, kulia lia ni kuzuri kwa afya ya moyo 😅 Waache walię lie sisi tupo hapa tuwapige spana watakomaa eventually.
Hata kama tunatumia ID's fake ila haibadilishi uhalisia wa mtu husika,

Hao wanao lialia kwa minor issue hapa JF ni wavulana sio wanaume,
Mwanaume ni mtu wa maamuzi,hawezi kuanzisha uzi kuomba ushauri kwa minor issue,

Posting relationship problems on social media,invites unsolicited opinions,
causes unnecessary drama,and breaches privacy,creating,rather than solving conflict,

Keep relationship issues private for a healthier,more secure and respected bond.
 
Back
Top Bottom