Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Akinyoa atauingukiwa nguvu za mwili kama Samson.Wife anasema holoholo zake hazipaswi kunyolewa hadi zitimize miezi 12 (mwaka). Sijui shida ni nini. Hebu nipeni ushauri wa bure wakuu.
Akinyoa atauingukiwa nguvu za mwili kama Samson.Wife anasema holoholo zake hazipaswi kunyolewa hadi zitimize miezi 12 (mwaka). Sijui shida ni nini. Hebu nipeni ushauri wa bure wakuu.
Jirani sema neno taifa lipone.Jirani, naomba nisiongeze neno nisije nikaharibu...🤗
Bwashee unajua haya matatizo madogo madogo wanayo yapata ndani ya ndoa,ni kwasababu ule uanaume unapotea hasa kwa hiki kizazi,mwanaume akisimama kiume ndani ya ''Territory'' anayoiongoza,basi hayo matatizo madogo hayawezi kutokea,it's all about leadership.Hizo ni dalili za mwanzo kabisa za kuwa papai, nimeona vijana wengu wanaolia lia mwisho wa siku wa karusha taulo
Hii ni kweli kabisa , japo mimi binafsi bado sijaona umuhimu wa ndoa kwangu bwasheeBwashee unajua haya matatizo madogo madogo wanayo yapata ndani ya ndoa,ni kwasababu ule uanaume unapotea hasa kwa hiki kizazi,mwanaume akisimama kiume ndani ya ''Territory'' anayoiongoza,basi hayo matatizo madogo hayawezi kutokea,it's all about leadership.
Endelea kunywa Bia tu kwanza bwashee,Hii ni kweli kabisa , japo mimi binafsi bado sijaona umuhimu wa ndoa kwangu bwashee
Mimi ninaomba ushauri, mke wangu hataki kunyoa 'holoholo' (vuzi) zake. Sasa natafuta uke katika msitu mkali wa mavuzi hadi nachoka.
KabisaEndelea kunywa Bia tu kwanza bwashee,
Ndoa zipo tu ila bia zinaweza kuja kuadimika.
[emoji23][emoji23][emoji23] mahiii.Kwanza humu ni jukwaa la kiume, sina takwimu lakini nadhani wanaume ni wengi kuliko wanawake na hivyo ni rahisi mada zao kutawala zikiwemo hizo za kulia lia.
Pili hili ni jukwaa fiche, ni zuri kwa afya ya akili an ego, mtu akiandika humu hata hatumjui ni vyema hatutomjaji in personal.
Tatu ni kitu cha kuwa encouraged, kulia lia ni kuzuri kwa afya ya moyo [emoji28] Waache walię lie sisi tupo hapa tuwapige spana watakomaa eventually.
Ila wewee? [emoji23][emoji23][emoji23]Hizo ni dalili za mwanzo kabisa za kuwa papai, nimeona vijana wengu wanaolia lia mwisho wa siku wa karusha taulo
Hahahaha madogo inabidi kwenda nao kikauzi tuIla wewee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti eeh, [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha madogo inabidi kwenda nao kikauzi tu
Mkuu watu wana maparody yao ya vilio! Kutolialia haimaanishi hawapitii magumu!
Kuchakata mambo kila mtu anaweza, raha ya ngoma uingie mwenyewe uicheze! Mko busy na theories wakati practically hakuna kila kitu, kajaribu kuyaishi hatua kwa hatua kama hujaja na milio humu😃
Brother 😂😂Hizo ni dalili za mwanzo kabisa za kuwa papai, nimeona vijana wengu wanaolia lia mwisho wa siku wa karusha taulo
Wanawake waliochuja ndio wakoje? Na hao ambao hawajachuja hawakulizi? Mimi siamini maneno ya kuambiwa.. mnajitia ugumu nyuma ya keyboard ila ukweli mnaujua nyie wenyewe bwana!Mwanaume anayelizwa na mapenzi ni Yule asiyejua thamani yake. Na wengi huchukua wanawake waliochuja. Ni wanaume walioyajulia mapenzi ukubwani na hawakufunzwa.
Ni Sawa na mshamba anayelizwa simu feki kariakoo. Asiyejua simu
Wanawake waliochuja ndio wakoje? Na hao ambao hawajachuja hawakulizi? Mimi siamini maneno ya kuambiwa.. mnajitia ugumu nyuma ya keyboard ila ukweli mnaujua nyie wenyewe bwana!
Duhh u seems to be so perfect! Mungu akuteteeUkishakuwa mtu mzima na kijana wako wa kiume akianza kukuletea wakamwana utajua mwanamke aliyechuja ni yupi. Ila kwa umri wako inaweza kuwa ngumu.
Washamba kwa maana ipi!?Narudia ni wanaume washamba na waliopata vitu vilivyochuja ndio huumizwa na mapenzi
🤔🤔Inaitwa Ganda la mua la Jana chungu kaona kivuno.