Mtazamo wa watu kwenye maisha ya watu!
Hakuna mtu aliyetajwa jina.
So mtu kutoa mtazamo wake kuhusu maisha ya watu ambao hajawataja kwako unaona ni tatizo?
Wanawake wanaosema wanapenda wanaume wenye pesa ni wote? Hao apeche alolo hawapati wake?
😆😆
Wawe wote au wasiwe wote hiyo sio hoja. Ni mitazamo Yao na wanahaki ya kuwa na hiyo mitazamo.
Unaniuliza mimi kwani Mimi naona tatizo kwenye mitazamo ya watu?
Wewe ndio umepatwa na ganzi, na kujikuta mhanga imefikia hatua unalia na kusema watu wanachuki kisa preference na mitazamo yao.
Hayo maswali nafikiri hayanihusu Sana na pengine umejigeuzia bunduki kwenye koo bila kujua
Kama wanatafuta pesa ili wawape wanawake pia ni akili zao zimeishia hapo!
Makosa yapi? Mtu kachagua kulala na kijana mdogo hilo ni kosa au machaguo?
Kulala na kijana Mdogo kwako sio kosa lakini vijana hao wakiwashushia heshima baada ya kuona maungo yenu ni kosa?
Kwa uelewa wako unafikiri kwa nini heshima ya mwanamke akilala na vitoto vidogo inashuka?
Au body count ikiwa kubwa thamani inashuka?
Na unahisi zitabadilisha wanawake watunze bikra zao? Kundi kubwa la mtandaoni ni la wanawake wenye maisha mengine kabisa, hizi preachings mkaanzishe mashuleni labda
Manadiliko ni maamuzi yenu wala hayahusiani na hisia zangu.
Ukiona wanaume wanazungumzia habari za single mothers au body count lengo lao ni kuwanasua, kuwafumbua macho wanaume wenzao wala haihusiani na nyie. Nyie maji yalishamwagika hayazoleki
Hao watoto wa shule hawapo humu, humu wapo wazazi(mimi, wewe na wasomaji wengine) ambao wao wataamua wawafundishe watoto wao kujitunza
Au waache wayapitie madhila, kejeli, dhihaka, kudharauliwa kama dada na mama zao waliokwisha kuharibu.
Umekatazwa kuwa na machaguo? Umeshikiwa panga? Ukiwa na machaguo ni lazima udhalilishe wanawake ndio upumue vizuri? Hao wanaume kama wana akili kuwazidi nyinyi wajuaji kwanini hawakuwaza hivyo at first place? Kama ingekuwa muhimu sana wangeanza kuyaona katika jamii zilizowazunguka kwanza sio kukutana na mahubiri yenu ndio waanze kutafuta changes!
Huhuhuu kila la kheri💃🏽
Kwako kumwambia mwanaume asiwe na mwanamke Malaya ni kumdhalilisha mwanamke?
Mwanamke asiyejiheshimu unataka Jamie imheshimu au imfumbie macho Kwa kisingizio kwamba tutadhalilisha uanamke wake.
Wewe(ukiwalisha wasiojitunza) ulifikiri utapewa tunzo, maneno ya Baraka na sifa kwa maamuzi mabaya ya kujiharibu kwa Kulala na wanaume wengi kama mwendawazimu?
Mnajidhalilisha wenyewe kwa kufanya ufuska na uchafu alafu hamtaki msemwe. Mkisemwa mnakimbilia mnadhalilishwa?
Wewe uliona wapi mwanamke bikira amedhalilishwa?
Haya hukuolewa bikira, lakini ukaamua kutulia na ndoa yako, uliona wapi mtu akakudhalilisha?
Unafanya kazi zako kama mwanamke anayejitegemea, nani atakudhalilisha?
Ukiwa Ombaomba, alafu watu wakisema unasema unadhalilishwa. Ujidhalilishe mwenyewe usingizie watu?
Haya hutaki kuolewa lakini Kila Siku kulala na wanaume, unabeba mpaka mimba za waume za watu. Ukisemwa unadhalilishwa.
Ndio tutawadhalilisha Sana. Sana TENA Sana. Mpaka mjiheshimu