Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Duhh u seems to be so perfect! Mungu akutetee
Washamba kwa maana ipi!?
🤔🤔
Kwa hiyo kutomlilia mwanamke na mapenzi ndio kuonekana kuwa perfect?
Wsshamba kwa maana ya Ganda la mua la Jana chungu kaona kivuno.
Huwezi Lilia kitu ambacho wenzako walikula wakasaza. Ni kiashiria thamani yako iko chini