Huu ni utaratibu wa kijamii na dunia ilivyo badilika nakua rahisi kila mtu achape kazi, maisha ni kusaidiana kwa hali na mali.Nature inamtaka mwanamke ahudumiwe na atunzwe na mwanaume wake, kisha Nature hiyo imemtaka mwanamke amtii mwanaume wake.
Haya mengine yoooote ni ubatili, excuses, uvivu, umalaya, umaskini nakadhalika na kadhalika....
nimesema nauza? kitu nimepewa bure siwezi nyimana kabisawin-one tunafanyaje myView attachment 3570529
Ngoja niandae mazingira mamanimesema nauza? kitu nimepewa bure siwezi nyimana kabisa