Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao katika mahusiano au waliofanya nao ngono.
Kama mwanamke una miaka zaidi ya 18 na ulifanya ngono na mwanaume ulifanya ngono kwa sababu ulipenda kufanya ngono kama ilivyo kwa kiumbe kingine chochote. Ahadi za ndoa baadaye, matarajio ya pesa na vitu ilikuwa vichocheo tu vya wewe kufanya ngono lakini sio kwamba hukuwa na akili ya kujua hivyo vitu ni 50/50.