Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane nacho
Wanawake ni viumbe hatari sana wanaume tunarogwa sana.
Unajuwa ni kwanini familia nyingi siku hizi unakuta mama ndie mwenye mamlaka kuliko baba, uchawi ni chanzo nachukia wanawake wachawi washirikina.