Wanaume mnaopeleka wake zenu kwa waganga wanawazunguka wanaendakuwatengeneza ninyi muwe marofa

Wanaume mnaopeleka wake zenu kwa waganga wanawazunguka wanaendakuwatengeneza ninyi muwe marofa

Hajawahi kutokea, hayupo
Sasa tutajuaje kuwa hajawahi kutokea au hatotokea bila kujua sifa za mganga wa kweli anapaswa kuweje ili wote tuweze kufahamu kama kweli hajawahi kuwepo mtu mwenye sifa hizo na pengine hatowahi kutokea?
 
Hilo la kutokuroga ndio tatizo mkuu
Kabisa hawana cha kuweka mezani wala kitandani, hawajiamini wanajua kuachwa nje nje kumbe wanaume tunataka heshima tu hayo mengine ziada, heshima nayo hana yaani mtu anaolewa akijua hana sifa yoyote na wala hakustahili hiyo nafasi ataacha kuroga
 
Back
Top Bottom