Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa.
2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini tutaelewana.
3. Ninapowaambia wadada acheni akili za utegemezi sio kwamba ninawaonea Wivu mbuzi nyie.
4. Najua heshima ya mwanamke, lakini hiyo haimaanishi wanawake nisiwaonye mnapokengeuka au mnapotaka kuingia shimo la choo.
5. Sisi Watibeli Mwanamke ni Kama Malkia wa mchwa. Analindwa kuliko kitu chochote. Kuliko Mgodi wa dhahabu. Kwa sababu Mwanamke akiharibika jamii yote imedondoka.
6. Mwanamke ndiye Mwalimu namba moja. Anapokengeuka Mtaala na mfumo mzima wa elimu na malezi umeyumba. Ndio maana misumari yetu inapigwa huko.
7. Wanaume wengi ambao sio Watibeli ni wanyanyasaji Sana. Hasa kwa wanawake wasio na kipato. Wasio na kazi
8. Mimi kama Baba yako, na Watibeli wengine waliotangulia tuliliona hilo ndio maana tukakuambia binti yetu, na kukufundisha kujitegemea. Jifunze kujitegemea.
9. Kujitegemea kutakufanya uishi Kwa furaha bila kumuabudu MTU. Bila kunyanyaswa kijinga jinga. Bila kuvumilia ujinga labda uvumilie kwa mapenzi lakini sio uvumilie ushenzi.
10. MTU kukuhudumia isiwe sababu ya kukunyanyasa, kukufanyia ushenzi, kufanya makosa kimakusudi huku akijua huna chakufanya. Binti za Tibeli Hilo kwao halitokei.
11. Sisi Watibeli hatuamini mapenzi kwa mtu tegemezi. Tunaona ni watu wanafiki wanafiki hivi.
12. Tunapofanya makosa tunahesabu tumesamehewa na wale ambao tunajua walikuwa na uwezo wa kuchukua hatua.
Yaani mtoto mkali, pesa ipo, anauwezo wa kukuacha muda wowote na mambo yake yasiyumbe na bado anakusamehe. Huo Sisi watibeli tunauhesabu kama Msamaha wa kweli.
13. Binti zangu, Zama hizi mmepewa nafasi nyeti. Uhuru wa kujitafutia. Uhuru wa kupata ujuzi. Uhuru wa kumiliki mali.
Tumieni fursa hizo.
14. Hakikisha unajitegemea ili uwe na options. Sawa Binti.
15. Kuna wanaume ni Washenzi sana. Wanaweza kutumia utegemezi wako kama adhabu. Wakakunyoosha.
16. Nina ushahidi WA jambo hili.
Ninapokea malalamiko mengi kuhusu unyanyasaji unaotokana na mwanamke kuwa tegemezi.
17. Vijana, mwanamke akishakuwa mkeo jaribu kumheshimu. Kumheshimu Mkeo ni kujiheshimu mwenyewe.
Huyo ni Mama WA watoto wako.
Huyo ni Mkeo
Huelewi maana ya MKE?
18. Huo mdomo sijui jeuri ya mwanmke inatoka wapi kama ulishaweka redline kwamba ukivuka hapa unakula umeme.
19. Aiseeh kuliko umnyanyasa MTU Bora umuache, kumnyanyasa mkeo ni kiashiria hujiamini, umuoga, unashindwa kumuacha. Watibeli hatunaga hizo.
Imeshindikana mnabwagana. Simple.
Mabinti fanyeni KAZI.
Hakuna Raha uingie kwenye mapenzi, umpende mtu alafu ukiwa mfukoni unahela. Hatari Sana
TaikonMaster
Kwa SASA Dar es salaam