Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Ukichagua mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa, lazima ukubali kwamba hawezi kushughulikia kazi za nyumbani zote.
Ukichagua mama wa nyumbani anayekujali na kusimamia nyumba yako vizuri, lazima ukubali kwamba hatoingiza kipato.
Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na ni jukumu lako kumtunza.
Ukichagua mwanamke mwenye msimamo, lazima ukubali kwamba ana nguvu na maoni yake mwenyewe.
Ukichagua mwanamke mrembo, kubali gharama kubwa na kukabiliana na wivu.
Ukichagua mwanamke mwenye mafanikio, lazima uelewe kwamba ana malengo, ndoto na msimamo wake.
In whichever way you choose to live your life, you will suffer any fate and misfortune that comes from it.
I'm out.