Perfection is an illusion. Hakuna ukamilifu kwa kiumbe binadamu, Hivyo huwezi kupata mwanamke mkamilifu kwenye kila kitu maishani

Perfection is an illusion. Hakuna ukamilifu kwa kiumbe binadamu, Hivyo huwezi kupata mwanamke mkamilifu kwenye kila kitu maishani

Infropreneur

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2022
Posts
14,578
Reaction score
31,662
Ukichagua mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa, lazima ukubali kwamba hawezi kushughulikia kazi za nyumbani zote.

Ukichagua mama wa nyumbani anayekujali na kusimamia nyumba yako vizuri, lazima ukubali kwamba hatoingiza kipato.

Ukichagua mwanamke mtiifu, lazima ukubali kwamba anakutegemea na ni jukumu lako kumtunza.

Ukichagua mwanamke mwenye msimamo, lazima ukubali kwamba ana nguvu na maoni yake mwenyewe.

Ukichagua mwanamke mrembo, kubali gharama kubwa na kukabiliana na wivu.

Ukichagua mwanamke mwenye mafanikio, lazima uelewe kwamba ana malengo, ndoto na msimamo wake.

In whichever way you choose to live your life, you will suffer any fate and misfortune that comes from it.

I'm out.
 
Tunafatilia mjadala kwa ukaribu
Screenshot_20260425-211738~2.jpg
 
Wanasema hata ukiwa kiboko kuna mahali utazidiwa, binadamu tuna tegemeana ili kutengeneza mahusiano imara.

Perfect yenyewe ina hitaji "P" na nyenzie ili imake sense, chagua kile utakacho weza kuki stahimili.
 
Ukamilifu una gharama.!

Kuna wakati uvulana haujaamua kuniacha na nina ndoa

Niliwahi kusimama kama liwali na kuhoji mintarafu ya usafi

Nikasema mwanamke aghalabu lazima awe pichu mbili kwa siku

Means 15/7 week.! 😎 🤭

Ajabu yeye alikuwa 3 za mtumba 3/365 day 👐

Kwenye katiba ya familia UTI ilikuwa si jambo la kumzingatia kabisa.
 
Pia, ukimwoa mwanamke mwenye makebo makubwa, tegemea atasumbuliwa na watu Kila apitapo. Yaana watu watakuwa wanampigia miluzi kwa sana na hiyo itamfanya ajione wa pekee, hivyo atazidi kutingisha makebo yake makusudi ili azidi kusifiwa na walimwengu, na hapo ndipo hushindwa kuwaza masuala mengine ya muhimu maishani kwa kuzidi kuyafikiria makebo yake, hatimaye wewe mume unaanza kuuamini ule msemo usemao, "wanawake wenye makebo makubwa hawana akili".

Nasanzuka!
 
Back
Top Bottom