Wanawake mnatuboa sana wanaume na stori za 'ma -X' wenu waliowatoa bikra, kama mlipendana kwanini mliachana?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.

Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.

Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.

Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.

Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
 
Niseme ukweli kabisa hata mimi nilishakutana nazo hizo, tena kwa wanawake kadhaa, huwa wanataka huruma
 
Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.

Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.

Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.

Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.

Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
si mlisema background status ni muhimu au😄,,,

alf uache ubaguzi mbona hata wanaume huwa mnaeleza habari za maex zenu

olu in olu ukiona mtu anakusimulia habari za bebe wa zamani ujue haja move on
 
Ukiona mpo faragha halafu mtu analeta stories za ex zake, ujue hakuna connection kati yenu. Kuna mambo mengi ya kuongea mkiwa uchi bwana, sio mambo ya maex!!!

Halafu mbona uvulana wako hujautunza, nimesoma umehesabu kama saba hivi ukimtoa huyo aliyekupigisha story za ex, umechezea uvulana wako😅
 
Back
Top Bottom