Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hujawahi pata mpenzi anakusimlia habari za wapenzi wake wa zamani?hebu ninong'oneze mahiii1😄🤭👌
Hujawahi pata mpenzi anakusimlia habari za wapenzi wake wa zamani?hebu ninong'oneze mahiii1😄🤭👌
Mnazingua sanasi mlisema background status ni muhimu au😄,,,
alf uache ubaguzi mbona hata wanaume huwa mnaeleza habari za maex zenu
olu in olu ukiona mtu anakusimulia habari za bebe wa zamani ujue haja move on
Kama kizinda kina maana basi acheni kiendelee kutumika kama kigezo cha kuwapima kimahusiano.Hebu funguka vizuri nikuelewe mkuu
Kizinda ndio 🐱? Kitumike mpaka kiweje lol 😆 Hapana aisee!Kama kizinda kina maana basi acheni kiendelee kutumika kama kigezo cha kuwapima kimahusiano.
Ogea maji ya chumvi changanya mdalasini na pilipili manga utoe nuksi.Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.
Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.
Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.
Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
Oyaaa Kifaruga.Kwanini mnakiongelea sana hiko kidude wakati mnasema hakina maana?
Kizinda ni kile kinyama, ndo ubikra wenyewe. Kama kina maana kwenu na kwetu acheni kiwe na maana.Kizinda ndio 🐱? Kitumike mpaka kiweje lol 😆 Hapana aisee!
Pole Sana, muachie muumba.Habari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.
Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.
Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.
Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
Ila wewe kijana, umuhimu wa nini sasa,sema mi hata sijui chochote🤭Kizinda ni kile kinyama, ndo ubikra wenyewe. Kama kina maana kwenu na kwetu acheni kiwe na maana.
nishapata ila nahisi hakua na akili timamu yule😄😄😄Hujawahi pata mpenzi anakusimlia habari za wapenzi wake wa zamani?
nyie pia bwanaMnazingua sana
Palipo na chuki wema ulitangulia
Ungemnasa kibao😀nishapata ila nahisi hakua na akili timamu yule😄😄😄
nilikua namlia timing🤣Ungemnasa kibao😀
Labda wanaume wa sinza sisi wengine ukija tunafunua ukurasa na bajeti mpyaHujawahi pata mpenzi anakusimlia habari za wapenzi wake wa zamani?
Mfano mimi tukiachana biashara inaishia hapo siwezi kuwa na mawasiliano tena sio nyie mkiulizwa kwanini mnamawasiliano na 'ma x' wenu majibu ooh kwasasa tumekuwa kama kaka na dada.nyie pia bwana
Hapana ndugu huwa hawajielewiUkiona hivyo ujue unapwaya kwenye hilo husiano lenu..!!