Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ahh wapi! Nyie wasaka bikra za online?Labda wanaume wa sinza sisi wengine ukija tunafunua ukurasa na bajeti mpya
Ahh wapi! Nyie wasaka bikra za online?Labda wanaume wa sinza sisi wengine ukija tunafunua ukurasa na bajeti mpya
nitoe kwenye hilo kundi bruhMfano mimi tuliachana biashara inaishia hapo siwezi kuwa na mawasiliano tena sio nyie mkiulizwa kwanini mnamawasiliano na 'ma x' wenu majibu ooh kwasasa tumekuwa kama kaka na dada.
Ahh wapi! Nyie wasaka bikra za online?
Kumbe! Sikuwa najua hili, sasa huwa mnatuletea habari zao huku za nini? Mwingine kaenda mbali kaanza kusaka humu!Mwanamke akishamiliki smartphone na tiktok account bikra hana huyo sasa unazungumzia online ya wapi
Kuongeza msisitizo wa umuhimu wa bikra kwa binti mpaka kuolewaKumbe! Sikuwa najua hili, sasa huwa mnatuletea habari zao huku za nini? Mwingine kaenda mbali kaanza kusaka humu!
Hawa wanaotaka bikra sijui ni kina nani wallah Mungu ana watu wengi sana😀Kumbe! Sikuwa najua hili, sasa huwa mnatuletea habari zao huku za nini? Mwingine kaenda mbali kaanza kusaka humu!
Hivi hata kama huna akili, ukaanze kumshauri mtu asiye na hiyo bikra umuhimu wa bikra wakati hawezi kuirudisha? Zungukieni mashule huko mkahubiri! Jambo dogo hili linawashindaje kufikiri🤔Kuongeza msisitizo wa umuhimu wa bikra kwa binti mpaka kuolewa
Watakatifu wa ulimwengu!Hawa wanaotaka bikra sijui ni kina nani wallah Mungu ana watu wengi sana😀
Sema huyo mwanamke wako ameshajua huna akili. Mwanaume anayejielewa hawezi pewa stori za x wa mwenza wakeHabari zenu wanajamvi.
Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana.
Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na mwenza wako?
Kuna mwanamke mmoja nilitaka nimuoe miaka ya 2019 nikabadili mawazo sababu ya stori hizo za kijinga mbaya zaidi kwenye diary yake nilikuta mawasiliano (namba ya simu ,barua pepe) ya jamaa yake alievunja kikombe.
Si huyo tu kuna wanawake kama saba hivi nilikuwa nao kwenye mahusiano stori ni hizo tu,nimeamua kuja na staili ya 'kata funua' nikikutana mwanamke tunamalizana hakuna kugandana.
Nikafanya utafiti kwa rafiki zangu kama kumi hivi juu tabia hiyo ya wanawake nilipata majibu ya kinachonikuta mimi.
Nikawasiliana na babu yangu juu ya jambo hili na akanijibu mwanamke usiemtoa bikra si wako..
Lakini nikaja kwenye baadhi ya Imani za kidini nikagundua nazo zinasisitiza umuhimu wa kuoa mwanamke bikra.
Jukumu lenu ninyi wanaiga kupitia kile waonacho kwa baadhi ya slayqueenHivi hata kama huna akili, ukaanze kumshauri mtu asiye na hiyo bikra umuhimu wa bikra wakati hawezi kuirudisha? Zungukieni mashule huko mkahubiri! Jambo dogo hili linawashindaje kufikiri🤔
Na hawatozipata hizo bikra maana hawastahili yaan uchakaze watoto wa watu huko halafu uanze kujidai mtakatifuWatakatifu wa ulimwengu!
😂😂😂Sema huyo mwanamke wako ameshajua huna akili. Mwanaume anayejielewa hawezi pewa stori za x wa mwenza wake
Slay queen wapo wangapi bwana wee! Huko kwao kuna maslay queen? Akiangalia wazazi wake na ndugu anapata picha gani?Jukumu lenu ninyi wanaiga kupitia kile waonacho kwa baadhi ya slayqueen
Wanaume kuna namna wanakuwaga kama mbili kasorobo!Na hawatozipata hizo bikra maana hawastahili yaan uchakaze watoto wa watu huko halafu uanze kujidai mtakatifu
Ndio tabia za madada wengi fanya tafiti.Sema huyo mwanamke wako ameshajua huna akili. Mwanaume anayejielewa hawezi pewa stori za x wa mwenza wake
Nimeshakutoa....nitoe kwenye hilo kundi bruh