wanawake wenye watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Shida sio hela ya matunzo ya mtoto bali ni baadhi ya baby mamas kuitumia kula bata na kumkomoa anaetoa.

    Shida kubwa inaanzia hapo, Pesa ya matunzo anaitaka ihudumie lifestyle yake ya mawigi, abaya, vifurushi vya data, n.k. anajiona hastahili kufanya kazi wewe ndie uwe unamtimizia kila kitu kwa mgongo wa matunzo ya mtoto. Pili ni kukukomoa, hapendi kukuona ulivyo move on na una familia yako...
  2. JamiiForums Tanzania Wale Mnaooa Wanawake Wenye Watoto, Mshauri Wenu Huyu Hapa!.

  3. JamiiForums Tanzania Wnawake wenye watoto wana mapenzi ya kweli, wanafaa sana kuolewa na wanadumu kwenye ndoa

    Kama kuna kitu nimekaa nikaangundua, ukipata mwanamke aliewahi pata mtoto ndugu ama akatemeka, Oa ndugu oaa wanaishi kwa adabu sana. Pili, hata mkiwa mnatafuta mtoto ukiona unachukua mda kajicheki wewe kwanza maana mwenzio ashajitwalia mwana mapema. Wana hekima sana kwa waume zaoo wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…