wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake msipoacha kutambiana mtafika mbali.. inuaneni.

    Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati zao wala vikundi. INASHANGAZA. Sababu kuu ni wao wenyewe kuoneana wivu na kutambiana kipuuzi. Hii...
  2. Siku hizi wanawake wengi (Age: 30+) wameokoka

    Je, wajua? Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia, Msahafu, nyimbo za dini, Kwaya mbalimbali, n.k Ingawa kuna tetesi zinasema kwamba "ni stress za maisha na...
  3. Nini kimechochea wimbi la wanawake wa kisasa kuwa na vitambi?

    Vitambi kwa wanaume ni jambo ambalo linajulikana limekuwepo karne zote lakini wimbi la wanawake kuwa na vitambi kote duniani lilianza takribani miaka ya 2000's. Nini hasa imechochea wimbi kubwa la wanawake kuwa na vitambi mijini na vijijini?
  4. Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
  5. Ila sisi wanawake tunamoyo sana imagine

    Unakutana na ntu humjui unaenda naye gest unalala naye hadi asubuhi. Na bado unanguvu ya kudai pesa shukuru Mungu jana hajakuua ndio udai hiyo hela . Ukiangalia yaani humjui hujawahi mwona ila unaubavu wakulala naye. Seriously.? Unaamka asubuhi hujatumia kinga,ila umeshalala nayee . Hapo unadai...
  6. SI KWELI Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana?
  7. Hivi wanawake mnamiliki siku ngapi maana karibu kila siku ni yenu

    Mna zile za kusafiri angani kila mwezi. Kuna siku ya wanawake duniani. Siku ya maombi ya kina mama. Kuna mothers day. Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
  8. Pre GE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  9. Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
  10. Bi. Mwanaamani Mtoo: Serikali imefanya jitihada kubwa kuwezesha wanawake kupiga hatua kimaendeleo

    Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Bi. Mwanaamani Mtoo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya jitihada kubwa katika kuwawezesha wanawake kupiga hatua kimaendeleo. Bi. Mtoo ameyasema hayo leo kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
  11. Askari Polisi Wanawake wahamasisha Wananchi kutembelea Vivutio vya Utalii

    Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
  12. Wimbi la wanawake wanatumia vipodozi vikali nchini, hali itakuwa mbaya miaka mitano ijayo

    Limeibuka wimbi kubwa la wanawake wanatumia mikorogo mikali wakijidai ni vipodozi vya kisasa Yaani hao wauzaji wameiva kama mapapai.yaani wanawake sie Mungu akituweka miaka mitano tutajionea maajabu Wamuulize luiza mbutu na dotinata Ngoja nijipikie mafuta yangu ya nazi nipake usoni Na ya mkia...
  13. Wanawake ni chachu ya maendeleo

    Habari wana JamiiForums Leo nimekuja na hii thread Dunia ya sasa wanawake wengi wameanza kushiriki shughili za uzalishaji mali kwa kiasi kikubwa Hii inatokana na wanawake kuimarishwa kielimu, elimu ya ujasiliamali pia siasa. Kwa upande wangu nimefanya kazi na wanawake kwenye taasisi tatu...
  14. Tauhida Gallos Awataka Wanawake Nchini Kujitathimini Ili Kuwa Bora Zaidi Kiutendaji

    TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
  15. T

    Pre GE2025 Mbeya: Wanawake wamchangia Rais pesa ya fomu ya ugombea

    Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono katika jitihada zake za uongozi. Zoezi hilo limeongozwa na Dkt. Yasinta Mafwenga ambaye alikuwa...
  16. Kama ni kweli gari la wanawake BAWACHA limepigwa mawe wahusika wakamatwe

    Nimesikitishwa mno na habari niliyosoma kwenye ukurasa rasmi wa Askofu wa CHADEMA ndugu Emanuel Mwamakula kuhusu basi la wanawake wa CHADEMA mkoa wa Mwanza waliokuwa wakitoka Dar kupigwa mawe huko Singida. Hiki ni kitendo kiovu kinachopaswa kulaaniwa. Vijana wanaotuhumiwa kufanya hivyo wakamatwe...
  17. D

    Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako??

    Ukiwaona wanawake wanaovaa kama hivi, huwa unawachukuliaje akilini mwako?? Dar Joto Sana.
  18. Y

    David Kafulila: Wanawake wataongeza Dola Trilioni 28 kwenye mzunguko wa Uchumi wa dunia ikiwa tu tutaamua kuwashirikisha kikamilifu

    Wanabodi, nimeikuta hii kwenye Tovuti ya kituo cha Ubia Kati ya Sekta binafsi na Sekta ya Umma PPPC imenivutia na ni mimi tu kuwaleteeni hii taarifa hapa. Kafulila anasema ikiwa Taifa na Dunia tutaamua kuwashirikisha vema wanawake katika Ujenzi wa Uchumi wa Dunia au wa Taifa...
  19. Matunda ya Diaspora: Namna Wanawake Diaspora 2 walivyoweza kumuweka Kagame na Rwanda kwenye kona. Tanzania tuna la kujifunza

    Congo DRC ikiwa kwenye hatihati ya kutekwa na Rwanda na Uganda, Wanawake wawili Diaspora wanaibuka na kuisadia nchi yao kuishawishi Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua stahiki dhidi ya Rwanda. Sote tunafahamu namna Kagame alivyowekeza katika suala la Uhusiano wa Kimataifa. Sote tunafahamu...
  20. Tabora: Maadhimisho siku ya wanawake waahidiwa majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia

    Katika kusherehekea Siku ya wanawake Duniani huko Mkoani Tabora wilayani Kaliua wanawake wilayani humo wamepata tumaini la kupata majengo mapya kwa ajili ya kujifungulia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…