wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Martha Mariki awaasa Wanawake kutumia fursa za mikopo ya 10% kujikwamua kiuchumi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
  2. musicarlito

    Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
  3. The Watchman

    Dkt. Gwajima: wanawake wameitika, hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea bali maonesho ya wajasiriamali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini. “Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea...
  4. The Watchman

    Chalamila: Wanaume acheni unyanyasaji kwa wanawake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mwanamke ni mbegu, tunu, chachu, faraja, dira, mbunifu na shujaa katika familia na katika kuongoza taifa kwa ujumla endapo akipewa nafasi ya kuonyesha ujuzi wake. Aidha, Chalamila amegusia suala la wanaume kuwaachisha wanawake kazi, jambo...
  5. The Palm Beach

    Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  6. RIGHT MARKER

    Kilichowakuta wanaume wengi leo siku ya wanawake Duniani

    Naamini leo wanaume wengi tumejitahidi kuwawish wanawake katika siku yao ya leo (Siku ya Wanawake Duniani - machi 8, 2025). Wengi tumekutana na mapokeo yafuatayo: Mapokeo - Mwanaume asiyekuwa na hela: 🙍MWANAUME:👁️‍🗨️ "Happy woman's Day jirani yangu, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu, afya...
  7. Setfree

    Kimeumana! Wanawake Wachachamaa - Malumbano Makali ya Hoja

    Malumbano makali ya hoja kati ya mwanamke na mwanaume: MWANAMKE: Wanaume, acheni tusherehekee. Eti mnasema leo tumevaa mavazi yasiyo na staha? Wanawake wenzangu, huu ni wakati wa kusimama na kutetea haki zetu wanawake! Tunayo haki ya kuji-express. Mavazi ni sehemu ya uhuru wa kujieleza, na...
  8. UMUGHAKA

    Heri ya siku ya wanawake kwako Mjomba wangu Gentamycine ,Hakika Mjomba ni mama

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Ikiwa Leo ni Kilele Cha siku pendwa kabisa duniani,siku ya mwanamke,Napenda kuchukua fursa hii kumtakia heri Mjomba wangu GENTAMYCINE popote pale alipo ,Hakika Mjomba ni mama! Mjomba baadae tukutane Kwa Mkapa Ili siku yako ikawe Bora na Murua kabisa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  10. The Watchman

    Dkt. Slaa yupo Mlimani City akishiriki maadhimisho ya BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa naye yumo leo Mlimani City kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa na Baraza la Wanawake wa chama hicho katika ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  12. BLACK MOVEMENT

    Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  13. Mohamed Said

    Siku ya Wanawake Duniani: Haiba ya Wanawake wa Mwanzo Kuingia TANU

    Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya wanawake wapigania uhuru wa Tanganyika. Wanasema picha inazungumza maneno 1000 na pia jicho la camera...
  14. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mabinti wa Vyuo Vikuu wajiunga na CCM, wakosoa nafasi ya wanawake Ndani ya CHADEMA

    Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya...
  15. Q

    Kwa wanawake hili mnakera ila pia kuna baadhi ya wanaume pia

    Aisee mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama nimepata na tatizo alafu unanionea huruma na haunisaidii hii ipo zaidi kwa wanawake Mwanamke kama huwezi msaidia mume mpenzi wako huna haja ya kumuonea huruma maana haisadii hii tabia wanayo zaidi wanawake. Nachukiaga sana maneno kibao msaada kimya...
  16. Eli Cohen

    Warembo wanatumia karibia mwezi mzima kuenzi siku yao. Huu muda wote wakumbushane usawa wanaoutaka wautumie pia kuchangia katika matumizi equally

    Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara. Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs. Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na...
  17. Tajiri Sinabay

    Wanawake tafadhali naombeni mje kujibia hili

    Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi. Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa. Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena. Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha...
  18. Papaa Mobimba

    Pre GE2025 Salma Kikwete: Wanawake tusifanye ajizi, rafiki wa mwanamke ni mwanamke. Tupige kura za kihistoria kwa Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Salma Kikwete, amewahamasisha wanawake kote nchini kujitokeza kugombea nafasi za udiwani na ubunge, huku akiwataka kuwaunga mkono wanawake wenzao kwa kura nyingi, hususan mgombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika...
  19. Eli Cohen

    Mama Tulia tuwasaidie wanawake mara ngapi kiuchumi, mbona tuashazimwaga mno, ni muda wenu sasa mtusaidie na sisi maana maboss lady wanazidi kuongezeka

    Ofcourse ni jukumu lake mwanaume ku-provide kwa mwaanamke, ila inakuwaje pale mwanaume anapokuwa na ukata na mwanamke yuko mwake, afanye nini sasa? Modern Wanawake wamekuwa rooted into money streams sio kama zamani, so pia ni jukumu lao kutusaidia na sisi maana ukata muda mwingine unakataa...
  20. Roving Journalist

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) watoa msaada kwa Kituo cha Wazee Wasiojiweza Njoro

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa. Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
Back
Top Bottom