wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  2. Kidagaa kimemwozea

    Itakuwaje kama idadi ya wanawake itazidi kupungua?

    Mitandao mbalimbali pamoja na takwimu za dunia zinaoneshwa kwa zaidi ya miaka 23 sasa idadi ya wanawake imekuwa ndogo kidogo kulingamisha na idadi ya sisi wanaume. Kwa sisi washika dini baada hali itakuwaje maana kwa sasa ni Men 101 : 100 female ? huku tanzania ikiwa men 49% female 51 . nini...
  3. The Watchman

    RC Manyara: Wanawake msikubali vipigo kwa kisingizio cha uvumilivu, akikupiga ujue huyo si ubavu wako

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, amewataka wanawake kutokubali vipigo na manyanyaso katika ndoa kwa kisingizio cha uvumilivu. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Mwanamke Duniani yaliyofanyika kimkoa katika Kijiji cha Hydom, Wilaya ya Mbulu, Sendiga amesisitiza kuwa si kila jambo...
  4. K

    Rais Samia Suluhu Hassan ni Kielelezo cha Uongozi wa kina Mama Duniani

    Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
  5. The Watchman

    DAS Kahama: Wanawake acheni mikopo ya kausha damu chukueni mikopo ya Samia

    Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza. Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
  6. Action and Reaction

    Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kata ya Itamboleo wilayani Mbarali ni balaa

    Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto...
  7. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  8. Rorscharch

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Wajanja Wanaocheza na Akili za Wanawake?

    Katika dunia inayokumbwa na matatizo yasiyokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, na ndoto zilizokwama—watu wamegawanyika katika makundi mawili. Wapo wanaotafuta suluhisho kwa kutumia akili, na wapo wanaokimbilia miujiza isiyo na msingi wowote wa kisayansi. Sehemu kubwa ya kundi...
  9. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Kuelekea Machi 8 , Wanawake wasipewe nafasi za Uongozi/Kiutendaji Kwa sababu ya Jinsia yao!!

    Ndio unaweza niita Mkoloni au Mfuasi wa Mfumo Dume , Vyovyote vile iwavyo, ukweli ni kwamba, Kuna Nafasi za Kiuongozi na Kiutendaji hazitakiwi kupewa Wanawake Kwa sababu tu ni Wanawake !!. Badala yake ni Lazima Wanawake wao wenyewe kuonyesha Uwezo na uthubutu wao Kila sehem waliyopo ili...
  10. RIGHT MARKER

    Wanawake wakifika sokoni wanauliza gharama ya bidhaa zote ndio maana wanachelewa

    Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa. "Hili dela ni bei gani?" "Hivi viatu ni bei gani?" "Hili gauni ni bei gani?" "Hii skirt ni bei gani?" "Hili sofa ni bei gani?" "Hii TV na Subwoofer ni bei...
  11. Eli Cohen

    Sasa hivi ni kama wanawake wamepotezea kuunganisha jina lake na la ukoo wa mme wake

    Kuna wakati ulipokuwa unakuwa hata ukiona kadi ambayo mama yako bi amealikwa mahala binfasi bila baba unaiona imeandika "mrs grace mboma" (mfano). Hilo mboma ni jina la baba yako. Sasa sijui ni imeshakuwa old-fashioned au ndio hio feminism imeshagonga hodi.😂
  12. The Watchman

    Kigamboni kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa makundi maalumu, wanawake watakiwa kutumia fursa ili kujiimarsha kiuchumi

    Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa ikitenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ili kuwawezesha Wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu sambamba na kutoa mikopo yenye Riba nafuu kwa Wajasiriamali wadogo wadogo Ili iweze kuwainua...
  13. The Watchman

    Pre GE2025 Lindi: Mbunge wa Viti Maalum achangia bati 90 ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea

    Tarehe 3 Machi 2025 Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, amekabidhi bati 90 kuunga mkono juhudi za ujenzi wa nyumba ya mtumishi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Nachingwea. Bati hizi ni sehemu ya michango ya Pathan katika kuendeleza maendeleo ya Wilaya ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake muelewe; kwa Sisi Wanaume watoto wote sio Sawa. Tunawapenda na kubariki wale wanaotusikiliza

    WANAWAKE MUELEWE; KWA SISI WANAUME WATOTO WOTE SIO SAWA. TUNAWAPENDA NA KUBARIKI WALE WANAOTUSIKILIZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kutuzalia Sisi tunaweza kukushukuru Sana lakini linapokuja suala la Upendo wa Baba kwa Mtoto ni kipengele kingine. Yaani Baba kusema sasa huyu ndiye mtoto...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Ligi Kuu ya Wanawake yasimamishwa kupisha Samia Women Super Cup

    LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) inatarajiwa kusimama kwa takriban wiki moja kupisha michuano ya Samia Women Super Cup inayotarajiwa kuanza kesho, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. . Ligi hiyo iliyotarajiwa kurudi Machi nne baada ya mapumziko ya kupisha michuano ya kufuzu Fainali za...
  16. K

    Enyi wanawake! Kuoelewa kwa mahari ya laki Tano ni aibu kwa mwanamke!

    Mahari ni kama zawadi ya shukran kwa familia ya mwanamke juu ya malezi na ukuzaji. Sasa kama una mwanaume unampenda 500k ni ndogo kuoelewa Emu naombeni msaada Tumieni sana busara
  17. Damaso

    Wanawake mnazidi kujipoteza data

    Kuna wakati najiuliza maswali mengi nakosa majibu! Utofauti wa mwanamke na mwanaume upo na kila mtu anafahamu hilo, ila tunaamua kuchagua tu kuziba masikio na kusema kuwa tupo sawa. Hii picha imenifanya nifikirie mbali sana, sikatai kuwa kuna maaskari game wanawake ila sio kila eneo la game...
  18. Balqior

    Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  19. Mbepo yamba

    Wanawake wote humu mna la kujifunza hapa

    Mambo yanapokuwa magumu kwenye maisha wanawake zetu hawa huwa na kawaida ya kurusha lawama kwa waume/wanaume zao na kupelekea wakati mwingine psychological implosions among men. Nawaambia leo. Hata kama huoni kwa macho yako ya kawaida, wanau.e hutoa jasho lao la mwisho kwa ajili yenu...
  20. D

    Wanawake wa Rombo Wana nini?

    Bango liko Mwananyamala Dar hili Ingawa lazima tuseme, kwa ujumla Wachaga ndio kabila lililojitahidi kutoa Wake wengi Bora kwa ndoa Bora.
Back
Top Bottom