wanunuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wanunuzi wadogo Mgodi wa Msasa, Runzewe - Geita tunapata shida, mizigo haipuliziwi rangi kwa wakati, inakuwa hasara kwetu

    Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato. Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania BoT - Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa wanunuzi Wawekezaji wa Kingeni

    12 August 2026 Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market Benefits of Investing in Government Securities Treasury bills and Treasury...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Soko la Yiwu jijini Da es Salaam ni neema kwa wafanyabiashara na wanunuzi wa Tanzania

    Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu China. Mji huu, ambao ni wilaya ya viwanda na ni eneo lenye watu wengi, ulioko kwenye mkoa wa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wanunuzi wa Hisa kuweni makini na Brokers

    Habari, Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Mkuranga watendaji wa vijiji wanatoza ushuru wa 10% ya mauzo kwa wanunuzi wa viwanja

    Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo. Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji. Kwa mfano mwananchi...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wanunuzi wa Vanilla nawatafuta njoo mwokoe hiki chama kitauziwa MALI zake ilihali wanamzigo wa vanilla kilo 500

    Kama wewe ni mnunuzi WA zao la vanilla please njoo inbox tuyajenge, uokoe jahazi linalotaka kuzama. Bei utapanga wewe ILA usipungue 30,000 kwa kilo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  8. Azniv Protingas

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

    Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji. Nikaenda magenge mengine kama matatu hali ni hiyohiyo, ikabidi niondoke bila ya kununua ninachohitaji. Hali pia kwenye usafiri...
Back
Top Bottom